Nandy na mwanaye wapokea baraka kwa Mwamposa

Nandy na mwanaye wapokea baraka kwa Mwamposa

Hivi unaweza kupewa pesa na Mwanamke alafu we Mwanaume ukainjoi kuzitumia?

Over my dead body labda ninunuliwe zawadi ya boksa ama sijui singled ila sio kupewa pesa na demu

Wanakuwaga na masimango sana hao
Kwa hiyo ukipewa utazikataa?
 
Mkuu hujawahi kupata masimango ya upande wa pili baada ya kuyumba kiuchumi na yeye akakusaidia?
Masimango ya kihivyo huwa nayasoma tu katika nyuzi mbalimbali za waliosimangwa hapa jf, ila mie binafsi sijawahi kukutana na hayo masimango 😂
 
Masimango ya kihivyo huwa nayasoma tu katika nyuzi mbalimbali za waliosimangwa hapa jf, ila mie binafsi sijawahi kukutana na hayo masimango 😂
Hongera Mkuu

Kuna mdau alishauri unaweza kuomba ruhusa kazini kwako then mwambie mkeo umefukuzwa kazi uone rangi yake halisi
 
Back
Top Bottom