Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Hahaha........fanya hivyo Mkuu then ulete mrejesho mwezi ujao 😜Rangi halisi huoneshwa na mahawala au michepuko ila kwa mke mwema hawezi kuwa hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha........fanya hivyo Mkuu then ulete mrejesho mwezi ujao 😜Rangi halisi huoneshwa na mahawala au michepuko ila kwa mke mwema hawezi kuwa hivyo.
Woow!...inapendeza sana....Kila laheri kwake na familia yake.Hakuna kujivunga, hakuna kujificha,Nandy kaamua.
Kiukweli mtumishi wa Mungu anahudumia watu wa kila aina, Nandy kesha hudumiwa na mtumishi wa Mungu, baraka zi juu yake daima.
Hongera kwake. View attachment 2858651
Kwani hao wanawake ambao wanawapenda mkiwa na kazi tu mnawatoa wapi ??Hahaha........fanya hivyo Mkuu then ulete mrejesho mwezi ujao [emoji12]
HahahaKwani hao wanawake ambao wanawapenda mkiwa na kazi tu mnawatoa wapi ??
Mbona wengine wanatupiga tafu hata kwenye mishe zetu zikifeli ??
Yani wanasimama bega kwa bega na sisi kwenye kila angle.