Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
- Thread starter
-
- #21
Kwa hiyo ukipewa utazikataa?Hivi unaweza kupewa pesa na Mwanamke alafu we Mwanaume ukainjoi kuzitumia?
Over my dead body labda ninunuliwe zawadi ya boksa ama sijui singled ila sio kupewa pesa na demu
Wanakuwaga na masimango sana hao
Nakataa ....Kwa hiyo ukipewa utazikataa?
Hakika βHili jamaa mwamposa ukiliangalia tu unajua tapeli la dini, huo utume na unabii amepewa na nani
Hili jamaa mwamposa ukiliangalia tu unajua tapeli la dini, huo utume na unabii amepewa na nani
Pole, fungua macho uone, hamna mtumishi wa Mungu pale, yule ni mtumishi wa mungu!Ujinga,umasikini na wivu vikikaa pamoja vinatengeneza aina ya mtu kama weww,pole sana maisha.
Mwamposa yuko Single kwamba unahisi unaongopewaNina uhakika 100%.
Single daddy? Kwamba mwamposa hana mkeNina uhakika 100%.
Huamini au unatoa msisitizo?Single daddy? Kwamba mwamposa hana mke
Siwezi kataa maana ya christina shusho nasikia tu.mwqmposa ana benz moja kali sanaHuamini au unatoa msisitizo?
[emoji23]Hili jamaa mwamposa ukiliangalia tu unajua tapeli la dini, huo utume na unabii amepewa na nani
Ujinga ni mtajiHakuna kujivunga, hakuna kujificha,Nandy kaamua.
Kiukweli mtumishi wa Mungu anahudumia watu wa kila aina, Nandy kesha hudumiwa na mtumishi wa Mungu, baraka zi juu yake daima.
Hongera kwake. View attachment 2858651
Kwani unabii hadi upewe, wewe jamaa wa wapi wewe.Hili jamaa mwamposa ukiliangalia tu unajua tapeli la dini, huo utume na unabii amepewa na nani
Nani mjinga?Ujinga ni mtaji
Wacha nicheke tu π πNakataa ....
Bora afanye kunikopesha lakini sio kupewa...siku umkorofishe atakusema hadi utamani kuzitapika
Sawa nabii kipanga wa kwa mpalangeKwani unabii hadi upewe, wewe jamaa wa wapi wewe.
Mkuu hujawahi kupata masimango ya upande wa pili baada ya kuyumba kiuchumi na yeye akakusaidia?Wacha nicheke tu π π
Masimango ya kihivyo huwa nayasoma tu katika nyuzi mbalimbali za waliosimangwa hapa jf, ila mie binafsi sijawahi kukutana na hayo masimango πMkuu hujawahi kupata masimango ya upande wa pili baada ya kuyumba kiuchumi na yeye akakusaidia?
Hongera MkuuMasimango ya kihivyo huwa nayasoma tu katika nyuzi mbalimbali za waliosimangwa hapa jf, ila mie binafsi sijawahi kukutana na hayo masimango π
Rangi halisi huoneshwa na mahawala au michepuko ila kwa mke mwema hawezi kuwa hivyo.mwambie mkeo umefukuzwa kazi uone rangi yake halisi