Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 16,096 Reaction score 49,651 Jan 5, 2024 #41 Kambi ya Fisi said: Rangi halisi huoneshwa na mahawala au michepuko ila kwa mke mwema hawezi kuwa hivyo. Click to expand... Hahaha........fanya hivyo Mkuu then ulete mrejesho mwezi ujao π
Kambi ya Fisi said: Rangi halisi huoneshwa na mahawala au michepuko ila kwa mke mwema hawezi kuwa hivyo. Click to expand... Hahaha........fanya hivyo Mkuu then ulete mrejesho mwezi ujao π
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Jan 5, 2024 #42 Kambi ya Fisi said: Hakuna kujivunga, hakuna kujificha,Nandy kaamua. Kiukweli mtumishi wa Mungu anahudumia watu wa kila aina, Nandy kesha hudumiwa na mtumishi wa Mungu, baraka zi juu yake daima. Hongera kwake. View attachment 2858651 Click to expand... Woow!...inapendeza sana....Kila laheri kwake na familia yake.
Kambi ya Fisi said: Hakuna kujivunga, hakuna kujificha,Nandy kaamua. Kiukweli mtumishi wa Mungu anahudumia watu wa kila aina, Nandy kesha hudumiwa na mtumishi wa Mungu, baraka zi juu yake daima. Hongera kwake. View attachment 2858651 Click to expand... Woow!...inapendeza sana....Kila laheri kwake na familia yake.
Chosen Rich JF-Expert Member Joined Jan 7, 2019 Posts 1,467 Reaction score 989 Jan 13, 2024 #43 Grahams said: Hahaha........fanya hivyo Mkuu then ulete mrejesho mwezi ujao [emoji12] Click to expand... Kwani hao wanawake ambao wanawapenda mkiwa na kazi tu mnawatoa wapi ?? Mbona wengine wanatupiga tafu hata kwenye mishe zetu zikifeli ?? Yani wanasimama bega kwa bega na sisi kwenye kila angle.
Grahams said: Hahaha........fanya hivyo Mkuu then ulete mrejesho mwezi ujao [emoji12] Click to expand... Kwani hao wanawake ambao wanawapenda mkiwa na kazi tu mnawatoa wapi ?? Mbona wengine wanatupiga tafu hata kwenye mishe zetu zikifeli ?? Yani wanasimama bega kwa bega na sisi kwenye kila angle.
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 16,096 Reaction score 49,651 Jan 13, 2024 #44 Chosen Rich said: Kwani hao wanawake ambao wanawapenda mkiwa na kazi tu mnawatoa wapi ?? Mbona wengine wanatupiga tafu hata kwenye mishe zetu zikifeli ?? Yani wanasimama bega kwa bega na sisi kwenye kila angle. Click to expand... Hahaha
Chosen Rich said: Kwani hao wanawake ambao wanawapenda mkiwa na kazi tu mnawatoa wapi ?? Mbona wengine wanatupiga tafu hata kwenye mishe zetu zikifeli ?? Yani wanasimama bega kwa bega na sisi kwenye kila angle. Click to expand... Hahaha
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jan 13, 2024 #45 Atajuwana na mwaposa wake Ova