sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Bidada anaejua kuimba na kucheza na jukwaa na mwenye utajiri wa kutisha Nandy amefunguka maswaibu aliyowai kukutana nayo akiwa kwenye show ya fiesta mkoani mbeya ambapo alipigwa chupa na watu wa Mbeya akiwa aelewi kosa lake haswa ni nini.
Anasema alipata jeraha kubwa eneo la jicho maana chupa ile ilikuwa inaenda kuharibu jicho lake.
Pole sana supastaa Nandy ili tatizo la watu wambeya kuwa na ushamba nsi la kupuuzwa hata kidogo.
Soma Pia: Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete, Zuchu akimbia jukwaa
Mimi nimezunguka sana hii dunia, sijawai ona biandamu aliyestaarabika akaenda eneo la starehe kwa ajili ya kurusha chupa na kufanya vurugu hii mimi nimeiona Mbeya tu duniani kote haipo.
Bado kama taifa tuna kazi kubwa sana ya kumfuta adui UJINGA ambaye mzee Nyerere aliangaika sana kupambana nae mpaka leo anatusumbua huyu adui watanzania.