Nandy: Nilishawahi kupigwa chupa Mbeya nikatoka nundu ya jicho

Nandy: Nilishawahi kupigwa chupa Mbeya nikatoka nundu ya jicho

Roho mbaya iliyopo Mbeya sijawai iona kokote duniani watu wana visirani yani watu wa Mbeya wanaamini sana kwenye kuumiza wenzao sijui mlipata laana gani

Ona misiba ilitokujaa juu ya watu wa Mbeya. Nikucheke 😂😂😂 pia pokea 💉💉💉
 
Sasa kama WA show zao Kwa nini wajazane kwenye show za watu wakat wanajua sio type Yao , hzo ni akili au matope
Waandaji wanapaswa kua makini na mahali wanapopeleka shows zao ili kuepuka fedheha na lawama kama hizi mnazoleta.

Kwanini upeleke show usipopendwa, unaenda kuuza biblia msikitini, utakua na akili kweli.
 
Hapo tu ndio ulipoonekana mwisho wako Tz.
Dunia ipi unayosema umezunguka haujawahi ona wananii wakipata masahibu?
Dada yangu behaviour za watu wa Mbeya hazipo duniani kote ile jamii ni very special, tena unakuta wanajisifia kuumiza wengine eti sisi hatupendi ujinga yani kuwa bitter kwao ni jambo la kujivunia hii haipo duniani kote ni mbeya tu
 
%%%%&€) & =€
Sijakuelewa unanifatilia wa nini humu, nimeandika na sibadili. Wivu wa yangu yakubane haswaa.

Wewe sio GT na Jifunze kutotegemea kuona 1+1=2 nikiandika

Nje ya BOKSI pako mbali sana nawe.
Wewe unachojua ni ushirikina mengine huyawezi riziki yako ni ngumu Mungu hajakujalia upeo
 
Waandaji wanapaswa kua makini na mahali wanapopeleka shows zao ili kuepuka fedheha na lawama kama hizi mnazoleta.

Kwanini upeleke show usipopendwa, unaenda kuuza biblia msikitini, utakua na akili kweli.
Tofautisha kutopendwa na kueneza siasa wewe umekuja kuimba imba watu waburudike unaanza mambo ya mitano tena ili iweje?
Nikurekebishe waandaaji wanapaswa kuwapa semina hao wasanii namna ya kuwa professional musicians.
Hayo mambo ya siasa wakaimbe wakialikwa mikutano ya campaign.
 
Dada yangu behaviour za watu wa Mbeya hazipo duniani kote ile jamii ni very special, tena unakuta wanajisifia kuumiza wengine eti sisi hatupendi ujinga yani kuwa bitter kwao ni jambo la kujivunia hii haipo duniani kote ni mbeya tu
Kutembea nako ni kujifunza.
Tembea Duniani
 
Tofautisha kutopendwa na kueneza siasa wewe umekuja kuimba imba watu waburudike unaanza mambo ya mitano tena ili iweje?
Nikurekebishe waandaaji wanapaswa kuwapa semina hao wasanii namna ya kuwa professional musicians.
Hayo mambo ya siasa wakaimbe wakialikwa mikutano ya campaign.
Anaependwa hata akiimba siasa hatopopolewa, Ney wa mitego hawezi kupopolewa akiimba siasa zake na 90% ya nyimbo zake ni siasa tupu na ndo anapendwa huko.
 
Anaependwa hata akiimba siasa hatopopolewa, Ney wa mitego hawezi kupopolewa akiimba siasa zake na 90% ya nyimbo zake ni siasa tupu na ndo anapendwa huko.
Umefuatilia show za Ney? Ney hata hapa dar anapendwa sana akikiwasha maana ana nyimbo zake tofauti na siasa na ndizo zinabang
 
Umefuatilia show za Ney? Ney hata hapa dar anapendwa sana akikiwasha maana ana nyimbo zake tofauti na siasa na ndizo zinabang
Sijaongelea Dar, mada ni Mbeya hii ya dar unaileta ww sasa, kama ndivyo basi jamaa anakubalika kote.

Ni sawa na Zuchu aende Moro au mkoa wowote mwingine tofauti na Mbeya.
 
Sijaongelea Dar, mada ni Mbeya hii ya dar unaileta ww sasa, kama ndivyo basi jamaa anakubalika kote.

Ni sawa na Zuchu aende Moro au mkoa wowote mwingine tofauti na Mbeya.
Nimekwambia Ney anakubalika popote iwe Mbeya au Dar ila huwa hapigi manyimbo ya siasa stejini
Halafu nani kakwambia Zuchu hakubaliki Mbeya? Alichozingua ni hicho tu cha kuleta siasa
Mbona wasafi festival zingine hapigwi chupaa! Kwani ni mara ya kwanza kuja Mbeya
 
Dawa ni kuweka kiingilio kikubwa, hapo hakuna wahuni wataingia
 
Nimekwambia Ney anakubalika popote iwe Mbeya au Dar ila huwa hapigi manyimbo ya siasa stejini
Halafu nani kakwambia Zuchu hakubaliki Mbeya? Alichozingua ni hicho tu cha kuleta siasa
Mbona wasafi festival zingine hapigwi chupaa! Kwani ni mara ya kwanza kuja Mbeya
Ulishawahi kwenda show ya Ney hata moja akiwa Mbeya??
Vijana wa mbeya hawaipendi ccm, na hata kabla ya kuanza kurushiwa chupa vijana walimtaka mke wa pdidy apande na Zuchu ashuke haraka.
 
Wewe unachojua ni ushirikina mengine huyawezi riziki yako ni ngumu Mungu hajakujalia upeo

🤣😅🤣
Unatatizo kubwa kwenye maisha yako, ndio maana ulifikiri ukinichague utoe uswandugwu wako kwa ID yangu nitakuchia. Umechoka kutumia JF inavyoonekana na ID hii.

Labda Nandi katunga hayo, weka kilipu tuyaone basi. Acha kupondea watu wa mkoa huo. Heshima.. Sawa msanii wa HASIRA hasara
 
Vijana wa pdidy mna nongwa sana na watu wa mbeya.
Kule wana shows zao za kina awilo wa mbeya.
Ninyi wa daslam nendeni tanganyika parkers, kwani huwa wanawaita au ni ninyi mnasaka maokoto, ndo changamoto zake hizo, avumilie.
Kuna kipindi Clouds / fiesta walikuwa hawaendi Arusha sijui walifanywa nini, watazunguuka koteeee lakini Arusha wanapotezea, labda na huko inabidi wajitafakari upya ila bahati mbaya mbunge wa pale ndo huwa anawatumia sijui itakuaje
 
Ulishawahi kwenda show ya Ney hata moja akiwa Mbeya??
Vijana wa mbeya hawaipendi ccm, na hata kabla ya kuanza kurushiwa chupa vijana walimtaka mke wa pdidy apande na Zuchu ashuke haraka.
Oya unazingua ujue! ile clip ni baada ya kutaja mitano kwa mama ndo wakamrushia chupa na kumwambia wanataka apande mke wa pdiddy Mbeya hatunaga mambo za kiwaki ukija bila gadi tunagawa wastani bila idadi😅😅( jokes) anyway karibu nipo Uyole leo Universal pub nakula kongoro
 
Huyu mke wa PDidy si aliwahi kusema Mbeya hakuna hoteli yenye hadhi ya kulala yeye, sasa bado anaenda mbeya kufanya nini, anadhani watu wanasahau?
 
Haya mambo uwa tunayaona kwa manyani mstuni inasikitisha yakifanywa na mwanadamu tena dunia hii ya AI.

Wazungu hawakosei kutufananisha na monkeys sio sababu ya rangi ila tabia kama hizi za wanyakyusa na wasafa.
Mbeya mjini kuna makabila yote, usije kushangaa aliyerusha chupa ni mmasai. Wanyakyusa kwao ni Rungwe na Kyela
 
na wapigwe tu hakuna namna.....Unaleta siasa kwenye starehe utapigwa tuuu.
Wasanii kujiingiza kwenye siasa
Kuonekana wao ni wa upande fulani hii itawacost sana
Labda wao waache kufanya matamasha huko na hata wasipofanya watu huko hawapotezi kitu
Najuwa syo poa kuwarushia wasanii vyupa,viti nk lkn hyo yote inatokana na msanii kawazingua tu watu waliyoenda hapo

Ova
 
Back
Top Bottom