cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Roho mbaya iliyopo Mbeya sijawai iona kokote duniani watu wana visirani yani watu wa Mbeya wanaamini sana kwenye kuumiza wenzao sijui mlipata laana gani
Waandaji wanapaswa kua makini na mahali wanapopeleka shows zao ili kuepuka fedheha na lawama kama hizi mnazoleta.Sasa kama WA show zao Kwa nini wajazane kwenye show za watu wakat wanajua sio type Yao , hzo ni akili au matope
Dada yangu behaviour za watu wa Mbeya hazipo duniani kote ile jamii ni very special, tena unakuta wanajisifia kuumiza wengine eti sisi hatupendi ujinga yani kuwa bitter kwao ni jambo la kujivunia hii haipo duniani kote ni mbeya tuHapo tu ndio ulipoonekana mwisho wako Tz.
Dunia ipi unayosema umezunguka haujawahi ona wananii wakipata masahibu?
Wewe unachojua ni ushirikina mengine huyawezi riziki yako ni ngumu Mungu hajakujalia upeo%%%%&β¬) & =β¬
Sijakuelewa unanifatilia wa nini humu, nimeandika na sibadili. Wivu wa yangu yakubane haswaa.
Wewe sio GT na Jifunze kutotegemea kuona 1+1=2 nikiandika
Nje ya BOKSI pako mbali sana nawe.
ππ€£πBaada ya Piddy kuwafanyia kazi na bosi wako umehama USAFINI sio? ππππ
Tofautisha kutopendwa na kueneza siasa wewe umekuja kuimba imba watu waburudike unaanza mambo ya mitano tena ili iweje?Waandaji wanapaswa kua makini na mahali wanapopeleka shows zao ili kuepuka fedheha na lawama kama hizi mnazoleta.
Kwanini upeleke show usipopendwa, unaenda kuuza biblia msikitini, utakua na akili kweli.
Kutembea nako ni kujifunza.Dada yangu behaviour za watu wa Mbeya hazipo duniani kote ile jamii ni very special, tena unakuta wanajisifia kuumiza wengine eti sisi hatupendi ujinga yani kuwa bitter kwao ni jambo la kujivunia hii haipo duniani kote ni mbeya tu
Anaependwa hata akiimba siasa hatopopolewa, Ney wa mitego hawezi kupopolewa akiimba siasa zake na 90% ya nyimbo zake ni siasa tupu na ndo anapendwa huko.Tofautisha kutopendwa na kueneza siasa wewe umekuja kuimba imba watu waburudike unaanza mambo ya mitano tena ili iweje?
Nikurekebishe waandaaji wanapaswa kuwapa semina hao wasanii namna ya kuwa professional musicians.
Hayo mambo ya siasa wakaimbe wakialikwa mikutano ya campaign.
Umefuatilia show za Ney? Ney hata hapa dar anapendwa sana akikiwasha maana ana nyimbo zake tofauti na siasa na ndizo zinabangAnaependwa hata akiimba siasa hatopopolewa, Ney wa mitego hawezi kupopolewa akiimba siasa zake na 90% ya nyimbo zake ni siasa tupu na ndo anapendwa huko.
Sijaongelea Dar, mada ni Mbeya hii ya dar unaileta ww sasa, kama ndivyo basi jamaa anakubalika kote.Umefuatilia show za Ney? Ney hata hapa dar anapendwa sana akikiwasha maana ana nyimbo zake tofauti na siasa na ndizo zinabang
Nimekwambia Ney anakubalika popote iwe Mbeya au Dar ila huwa hapigi manyimbo ya siasa stejiniSijaongelea Dar, mada ni Mbeya hii ya dar unaileta ww sasa, kama ndivyo basi jamaa anakubalika kote.
Ni sawa na Zuchu aende Moro au mkoa wowote mwingine tofauti na Mbeya.
Ulishawahi kwenda show ya Ney hata moja akiwa Mbeya??Nimekwambia Ney anakubalika popote iwe Mbeya au Dar ila huwa hapigi manyimbo ya siasa stejini
Halafu nani kakwambia Zuchu hakubaliki Mbeya? Alichozingua ni hicho tu cha kuleta siasa
Mbona wasafi festival zingine hapigwi chupaa! Kwani ni mara ya kwanza kuja Mbeya
Wewe unachojua ni ushirikina mengine huyawezi riziki yako ni ngumu Mungu hajakujalia upeo
Kuna kipindi Clouds / fiesta walikuwa hawaendi Arusha sijui walifanywa nini, watazunguuka koteeee lakini Arusha wanapotezea, labda na huko inabidi wajitafakari upya ila bahati mbaya mbunge wa pale ndo huwa anawatumia sijui itakuajeVijana wa pdidy mna nongwa sana na watu wa mbeya.
Kule wana shows zao za kina awilo wa mbeya.
Ninyi wa daslam nendeni tanganyika parkers, kwani huwa wanawaita au ni ninyi mnasaka maokoto, ndo changamoto zake hizo, avumilie.
Oya unazingua ujue! ile clip ni baada ya kutaja mitano kwa mama ndo wakamrushia chupa na kumwambia wanataka apande mke wa pdiddy Mbeya hatunaga mambo za kiwaki ukija bila gadi tunagawa wastani bila idadiπ π ( jokes) anyway karibu nipo Uyole leo Universal pub nakula kongoroUlishawahi kwenda show ya Ney hata moja akiwa Mbeya??
Vijana wa mbeya hawaipendi ccm, na hata kabla ya kuanza kurushiwa chupa vijana walimtaka mke wa pdidy apande na Zuchu ashuke haraka.
Mbeya mjini kuna makabila yote, usije kushangaa aliyerusha chupa ni mmasai. Wanyakyusa kwao ni Rungwe na KyelaHaya mambo uwa tunayaona kwa manyani mstuni inasikitisha yakifanywa na mwanadamu tena dunia hii ya AI.
Wazungu hawakosei kutufananisha na monkeys sio sababu ya rangi ila tabia kama hizi za wanyakyusa na wasafa.
Wasanii kujiingiza kwenye siasana wapigwe tu hakuna namna.....Unaleta siasa kwenye starehe utapigwa tuuu.