sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
-
- #61
Makabila mengine ni wastaarabu sana huwezi kuona mtu karushiwa chupa Songea au Tanga. Haya mambo utayaona Mbeya tu watu uko wana shida vichwani na ni culture wanarithishana kuumiza mtu ndio ugangwe. Mji una watu wana roho mbaya sana kuchuna ngozi ya mtu ni ishu ya kawaida.Mbeya mjini kuna makabila yote, usije kushangaa aliyerusha chupa ni mmasai. Wanyakyusa kwao ni Rungwe na Kyela
Naona nguvu kubwa inatumika kuligeuza ili jambo ni la siasa lakini Mbeya awajaanza jana kufanya vurugu kwenye maeneo ya starehe hata club zao kuchomwa visu nje nje au napo kuna mitano tena kwenye clubs?Wasanii kujiingiza kwenye siasa
Kuonekana wao ni wa upande fulani hii itawacost sana
Labda wao waache kufanya matamasha huko na hata wasipofanya watu huko hawapotezi kitu
Najuwa syo poa kuwarushia wasanii vyupa,viti nk lkn hyo yote inatokana na msanii kawazingua tu watu waliyoenda hapo
Ova
Unanitisha utanifanya nini?
Mie mwenyewe sio kinyonge naweza fungulia koki ya period hiyo itoke miaka miwili jiangalie binti hii namba chafu
Hawana jinsi kama wataka maokoto na kukubaliwa na chama tawala, watakubali kupigwa chupa hata zenye mkojo.Kuna kipindi Clouds / fiesta walikuwa hawaendi Arusha sijui walifanywa nini, watazunguuka koteeee lakini Arusha wanapotezea, labda na huko inabidi wajitafakari upya ila bahati mbaya mbunge wa pale ndo huwa anawatumia sijui itakuaje
Wasanii kujiingiza kwenye siasa
Kuonekana wao ni wa upande fulani hii itawacost sana
Labda wao waache kufanya matamasha huko na hata wasipofanya watu huko hawapotezi kitu
Najuwa syo poa kuwarushia wasanii vyupa,viti nk lkn hyo yote inatokana na msanii kawazingua tu watu waliyoenda hapo
Ova