Nandy: Vanessa na Ruby hawaniwezi

Nandy: Vanessa na Ruby hawaniwezi

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Msanii wa kimataifa na mwenye mvuto wa sauti wa kumtoa nyoka pangoni na msanii mwenye mvuto kuliko msanii yoyote barani Africa Nandy a.k.a African Princess.

Amefunguka baada ya kushindanishwa na V.Money na Ruby na mashabiki nakusema wote wawili hawapo level yake na amewashauri mashabiki wasimshindanishe na hao wasanii.

Nandy.jpg
 
Haya mazee hayajioni yamezeeka? nani mwenye time nayo hata wakijibadilisha kwa make up na nywele bandia? sasa hivi tupo bussy na album mpya ninyi zilipendwa bin bakurutu kaeni pembeni zama zenu zimepita
 
Umeandika kimahaba zaidi '' Msanii wa kimataifa na mwenye mvuto wa sauti wa kumtoa nyoka pangoni na msanii mwenye mvuto kuliko msanii yoyote barani Africa Nandy a.k.a African Princess" give a reply
 
Umeandika kimahaba zaidi '' Msanii wa kimataifa na mwenye mvuto wa sauti wa kumtoa nyoka pangoni na msanii mwenye mvuto kuliko msanii yoyote barani Africa Nandy a.k.a African Princess" give a reply
Wewe ulitaka niandikaje?
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini haya maneno


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Technically Nandy ana hit song nyingi kuliko msanii wa kike yeyote hapa Bongo
 
Vanessa yuko very classic, anafanya music International na yuko very smart, nandy size yake ni hapa nyumbani kupambana na kina Lina
Mwezi May Nandy ana tour USA kwa mara ya pili ..sasa unataka nini zaidi sio international
 
Kumbe ndomana wasanii wa kike hawashirikiani wao kwa wao sababu ya huu ujinga
 
Back
Top Bottom