matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Ajira au shughuli ya kwanza mwanadamu kupewa na Mungu ilikuwa ni Kilimo.
BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. mwanzo 2:15
Ndio maana ameahidi AKUBARIKI mjini na mashambani.
Kumuenzi Mungu ka maelekezo haya hakikisha pamoja na mengine
Unashamba au bustani mjini au vijijini
Unakuwa na siku za kula mazao ya ardhi tu bila nyama Wala productyza nyama maana sio chakula cha asili cha mwanadamu.
Wafundishwe watoto jambo hili KUWA kilimo sio laana au umasikini, MATAJIRI wakubwa wa kwenye Bibilia walikuwa ni wakulima na wafugaji Wacha Mungu.
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Nikutakie Nanenane njema.