Nani akichangia Uzi wako unafurahi?

Kama kinavyojieleza hapo juu.kwa wale tunaoanzisha uzi au mjadala hapo kwenye majukwaa, lakini ni nani ukiona amechangia (commet)kwenye huo uzi angalau unafurahi..tuanze kuwataja
Mimi wapo wengi ila Everlin salt.. Kidogo
Mm je nikichangia hunifurahii?
 
Ina maana michango yangu haifurahishi humu ndani? Ila poa, haina kwere [emoji233][emoji233][emoji233]
 
Lin nilikwambia nakupenda mm
Nani kakubalidisha akili mke wangu?


Rudisha moyo nyuma

Kumbuka yale yote mazuri tuliofanya pamoja pia kumbuka kuwa ulikula yamini kuwa huto nisaliti ni mdudu gani tena amekitia kitumbua changu mchanga



Usinifanyie hivyo mama watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…