Nani akichangia Uzi wako unafurahi?

Nani akichangia Uzi wako unafurahi?

Now nasoma then nipate right person wa kupata nae mtoto sio kudandia tu ili mradi nawe uonekane umezaa
Hahahahaha...unasoma la ngap mpk ushindwe kupata mtt?

Huyu bf wako nae anasoma?
 
Ah!...mungu anakuona ww mtt

Chuo na huna bf?!..acha kuniongopea
Ahahaa kwahiyo ukiwa chuo lazima uwe na bf au gf? No ni uamuzi tu wa mtu ukiona mapenzi yanazingua bora ubaki single concentrate na masomo tu
 
Mm wakat nasoma chuo nlikuwa siwezi kukaa single hata siku 1

Hamna vijana watanashati chuo unachosoma?!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi siangalii tu utanashati naangalia kikubwa upendo mengine tunaelekezana tu kama ingekuwa naangalia utanashati basi ningekuwa nao wengi tu pale chuo[emoji23]
 
Chuo gani unasoma vijana wazembe hivyo?!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahahahaa Nokia bhana sio uzembe ila mi sitaki kuchezewa tu na visharobaro vya hovyo
Chuo gani unasoma nije kuwaonyesha vijana kazi
 
Back
Top Bottom