Nokia83Hana jina
Mm ningekuwa nmekuvimbisha tumbo sio mashavuNokia83
Inategemea na mada.kama sio maana hata wachagiaji wa kukukejeri utakosaNachopendea JF huku ukianzisha thread lazima upate wachangiaji tofauti na Facebook na Insta ambapo kule upate wachangiaji inabidi wasichana wabinue misambwanda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mm ningekuwa nmekuvimbisha tumbo sio mashavu
Na hivyo vishavu sasa hivi ungekuwa unatema mate tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]