Nani akichangia Uzi wako unafurahi?

Nani akichangia Uzi wako unafurahi?

Nachopendea JF huku ukianzisha thread lazima upate wachangiaji tofauti na Facebook na Insta ambapo kule upate wachangiaji inabidi wasichana wabinue misambwanda.
Inategemea na mada.kama sio maana hata wachagiaji wa kukukejeri utakosa
 
Back
Top Bottom