NANI AKO ONLINE TUPIGE STORY?

NANI AKO ONLINE TUPIGE STORY?

Duh!
Kuna kaaazi kweli kweli walahi
 
Mnanikera na hicho kiswahili chenu!!!! Hata siwezi kuelewa mnaongea nini halafu mnasema tuongee??? Chukua kamusi kaa nayo pembeni ndo uandike.
 
Mnanikera na hicho kiswahili chenu!!!! Hata siwezi kuelewa mnaongea nini halafu mnasema tuongee??? Chukua kamusi kaa nayo pembeni ndo uandike.
Hahaha
 
Mnanikera na hicho kiswahili chenu!!!! Hata siwezi kuelewa mnaongea nini halafu mnasema tuongee??? Chukua kamusi kaa nayo pembeni ndo uandike.

Acha Vako!! Sisi Primo hatukufunzwa Kiswahili tulifunzwaga hii hapa chini.

Monocot = maize (cotyledon cannot be divided into 2)
Dicot = beans (cotyledons can be divided into 2)
They both fall under angiosperms which means they're flower producing plants.
 
Nani hawezi ku google kujua unachosema? Nani ata google kiswahili unachoandika hakieleweki. Kama Biologia wote tumesoma na tunajua wengine labda ni Biochemistry wakubwa lakini lugha iheshimiwe.
 
Back
Top Bottom