Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haa. Kiswahili cha wakenya huwa kinanifurahishaga sana...Niko na soo Tano, Hope hutasema ni ya chips funga!!
Niko na laki 3 kwa mfuko wa shati utanipea nn?Wacha stori mingi! Ako na pesa ngapi?
Pizza. Ushawahi kula Pizza?Niko na laki 3 kwa mfuko wa shati utanipea nn?
Duh!
Kuna kaaazi kweli kweli walahi
huwezi jua maybe atakupea haga 😂😂😂😂Niko na laki 3 kwa mfuko wa shati utanipea nn?
huwezi jua maybe atakupea haga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaMnanikera na hicho kiswahili chenu!!!! Hata siwezi kuelewa mnaongea nini halafu mnasema tuongee??? Chukua kamusi kaa nayo pembeni ndo uandike.
Mnanikera na hicho kiswahili chenu!!!! Hata siwezi kuelewa mnaongea nini halafu mnasema tuongee??? Chukua kamusi kaa nayo pembeni ndo uandike.