mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kwakuwa wanachanganya mpira na siasa.
Kama kuna sheria ambazo tayari zilisha determine kuwa mpira hauwezi kuchezwa saa moja bila sababu maalumu nitamwambia mama kama huwezi kuangalia saa 11 baso haiwezekani kwakuwa tayari muda haufai tena kusogeza mbele na sheria zipo zinazozuia hilo kutendeka.Mama YAKO amekuomba mwanangu nataka niangalie mechi yako SAA 1 USIKU kuna ubaya?
Kama kuna sheria ambazo tayari zilisha determine kuwa mpira hauwezi kuchezwa saa moja bila sababu maalumu nitamwambia mama kama huwezi kuangalia saa 11 baso haiwezekani kwakuwa tayari muda haufai tena kusogeza mbele na sheria zipo zinazozuia hilo kutendeka.
Tatizo sio kusogezwa mbele. Tatizo la jana ni kuwa hakuna sababu iliyoainishwa kama ndio chanzo cha mechi kusogezwa mbele.ILA si mechi ya Kwanza kusogezwa mbele muda?
Maana ilitokea AZAM na yanga.
ILA Jana sijajua kulitokea nini.
Mwisho wa siku viongozi wa yanga Wana MAKOSA.
Serikali HAIPINGWI
Tatizo sio kusogezwa mbele. Tatizo la jana ni kuwa hakuna sababu iliyoainishwa kama ndio chanzo cha mechi kusogezwa mbele.
Viongozi wa Yanga wapo sahihi.
Serikali haipingwi? Hivi unazijua sheria za FIFA mzee au mpira umeanza kuujua baada ya issue ya jana?
Halafu serikali ambayo haipingwi ni ya PRK tu kule kwa Kim Jong Un.
Huna ujualo mzee. Wewe rudi kwenye jukwaa la siasa huku kwenye mpira wewe upo mtupu sana.Sasa ivimbishie kichwa serikali alafu tuone Nani atapasukaView attachment 1778595View attachment 1778596
Huna ujualo mzee. Wewe rudi kwenye jukwaa la siasa huku kwenye mpira wewe upo mtupu sana.
Yaan huyu mama ni bureeeeh tyuuh.Hahaha kwamba maagizo yalitoka kwake mkuu?
Mimi ni mshabiki wa Simba. Kugoma jana kwa Yanga kutatupa faida wadau wote wa soka kwa kuwa itakuwa fundisho kwa yeyote ambae anadhani anaweza kuvunja sheria na watu wakakaa kimya tu.Unaweza kuniambia baada ya kugomea yanga Jana kucheza watapata faida gani?
Kilichowakimbiza NI hichiView attachment 1778601
Hahaha kwahiyo bora mwenda.Yaan huyu mama ni bureeeeh tyuuh.
Mimi ni mshabiki wa Simba. Kugoma jana kwa Yanga kutatupa faida wadau wote wa soka kwa kuwa itakuwa fundisho kwa yeyote ambae anadhani anaweza kuvunja sheria na watu wakakaa kimya tu.
Hiyo ni pesa ya mbumbu wa bara, hana uchungu nayo.Kawapa hasara Mpira wa leo pia kawapa hasara kwa kugawa Benz la ml450 utafikiri mwanae alishindwa kulinunua.
Je mashabiki wana umoja huo?Sisi ndo wakuwajibisha kwa kususa mechi zote za ligi zilizosalia, endapo hawatarudisha pesa yetu
Kafanyeje?Bi mkubwa atutake radhi kwanza ikiwezekana ainame masaa mawili kama yule waziri wa japana sijui kuomba radhi
Barua ya Yanga imeeleza kuhusu sheria ya kuhairisha mchezo kuwa angalau 24hrs before. TFF & BODI YA LIGI wanamakosa katika hili.
Neno busara mnataka litumike hata pasipo stahili, wewe unayetaka busara itumike tuambie sababu hasa za game kusogezwa mbele ni nini?Yanga wamefata sheria ila hawana busara kwa maana kusogezwa masaa mbele hakuathiri kitu sana kuliko kama wangerudishwa nyuma masaa na wakasema chezeni