Nani Alaumiwe kwa Hasara Watanzania Waliyoingia Leo?

Nani Alaumiwe kwa Hasara Watanzania Waliyoingia Leo?

Mama YAKO amekuomba mwanangu nataka niangalie mechi yako SAA 1 USIKU kuna ubaya?
Kama kuna sheria ambazo tayari zilisha determine kuwa mpira hauwezi kuchezwa saa moja bila sababu maalumu nitamwambia mama kama huwezi kuangalia saa 11 baso haiwezekani kwakuwa tayari muda haufai tena kusogeza mbele na sheria zipo zinazozuia hilo kutendeka.
 
ILA si mechi ya Kwanza kusogezwa mbele muda?
Maana ilitokea AZAM na yanga.
ILA Jana sijajua kulitokea nini.
Mwisho wa siku viongozi wa yanga Wana MAKOSA.
Serikali HAIPINGWI

Tatizo sio kusogezwa mbele. Tatizo la jana ni kuwa hakuna sababu iliyoainishwa kama ndio chanzo cha mechi kusogezwa mbele.

Viongozi wa Yanga wapo sahihi.

Serikali haipingwi? Hivi unazijua sheria za FIFA mzee au mpira umeanza kuujua baada ya issue ya jana?

Halafu serikali ambayo haipingwi ni ya PRK tu kule kwa Kim Jong Un.
 
Sasa ivimbishie kichwa serikali alafu tuone Nani atapasuka
Tatizo sio kusogezwa mbele. Tatizo la jana ni kuwa hakuna sababu iliyoainishwa kama ndio chanzo cha mechi kusogezwa mbele.

Viongozi wa Yanga wapo sahihi.

Serikali haipingwi? Hivi unazijua sheria za FIFA mzee au mpira umeanza kuujua baada ya issue ya jana?

Halafu serikali ambayo haipingwi ni ya PRK tu kule kwa Kim Jong Un.
Screenshot_20210508-142219.jpg
Screenshot_20210508-155830.jpg
 
kuna MECHI ngapi kabla ya Jana kusogezwa mbele muda wake?
Mimi ni mshabiki wa Simba. Kugoma jana kwa Yanga kutatupa faida wadau wote wa soka kwa kuwa itakuwa fundisho kwa yeyote ambae anadhani anaweza kuvunja sheria na watu wakakaa kimya tu.
 
Barua ya Yanga imeeleza kuhusu sheria ya kuhairisha mchezo kuwa angalau 24hrs before. TFF & BODI YA LIGI wanamakosa katika hili.
 
Barua ya Yanga imeeleza kuhusu sheria ya kuhairisha mchezo kuwa angalau 24hrs before. TFF & BODI YA LIGI wanamakosa katika hili.
IMG-20210509-WA0006.jpg

TFF wanaitaka bodi ya ligi ndio itoe maelezo saizi 😂😂😂
 
Kulikua na haja gani ya Yanga kugoma? Kwani wangecheza wangelipungukiwa na nini?

Yanga Ni drama queens tu
 
Yanga wamefata sheria ila hawana busara kwa maana kusogezwa masaa mbele hakuathiri kitu sana kuliko kama wangerudishwa nyuma masaa na wakasema chezeni
Neno busara mnataka litumike hata pasipo stahili, wewe unayetaka busara itumike tuambie sababu hasa za game kusogezwa mbele ni nini?
 
Back
Top Bottom