Nani Alaumiwe kwa Hasara Watanzania Waliyoingia Leo?

ILA si mechi ya Kwanza kusogezwa mbele muda?
Maana ilitokea AZAM na yanga.
ILA Jana sijajua kulitokea nini.
Mwisho wa siku viongozi wa yanga Wana MAKOSA.
Serikali HAIPINGWI
Binafsi naona waliotunga kanuni ndio wanamakosa, ligi yetu inaweza kwenda bila kanuni. Serikali kupitia wizara ya michezo iwe inawaelekeza kila kitu
 
Neno busara mnataka litumike hata pasipo stahili, wewe unayetaka busara itumike tuambie sababu hasa za game kusogezwa mbele ni nini?
Acha kudonyoa donyoa kuna mtu nilikuwa namjibu na nimeanza nae mbali ukitaka kuelewa Rudi nyuma Yanga hawana kosa ila hawana busara mbona wao walishawahi kuvunja sheria kibao na hao TFF wakanyamaza
 
Acha kudonyoa donyoa kuna mtu nilikuwa namjibu na nimeanza nae mbali ukitaka kuelewa Rudi nyuma Yanga hawana kosa ila hawana busara mbona wao walishawahi kuvunja sheria kibao na hao TFF wakanyamaza
Sasa hapa unaonyesha wazi tatizo ni TFF, kwanini sababu za kusogezwa mbele mechi haziwekwi hadharani?
 
Sasa hapa unaonyesha wazi tatizo ni TFF, kwanini sababu za kusogezwa mbele mechi haziwekwi hadharani?
Umesema Yanga haijawahi kubebwa na TFF nimekupa mfano unaruka hoja mm sijasema TFF haina kosa narudia tena YANGA haina kosa wapo kwenye haki kabisa ila viongozi wake hawana busara maana nilikutolea ule mfano Mrisho ngasa kuwa Yanga walifanya makosa lakin TFF wakatumia busara hawakuwafungia hoja yako ipi
 
hii awamu ya kudemka watanzania Tumepigwa sana

Time Will Tell

kwa siku ya jana Mama Wa Kudemka 2-0 Watanzania

tumepigwa kuanzia uwanja wa taifa mpaka kwenye benzi la 450 mil
 
Walaumiwe mikia na mwanachama wa Wallace Karia
 
Hakuna mambo ya busara kanuni zifatwe, yanga wamewakumbusha tff kufuata kanuni, busara mpelekee aliyetaka kuvunja kanuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…