Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi naona waliotunga kanuni ndio wanamakosa, ligi yetu inaweza kwenda bila kanuni. Serikali kupitia wizara ya michezo iwe inawaelekeza kila kituILA si mechi ya Kwanza kusogezwa mbele muda?
Maana ilitokea AZAM na yanga.
ILA Jana sijajua kulitokea nini.
Mwisho wa siku viongozi wa yanga Wana MAKOSA.
Serikali HAIPINGWI
Acha kudonyoa donyoa kuna mtu nilikuwa namjibu na nimeanza nae mbali ukitaka kuelewa Rudi nyuma Yanga hawana kosa ila hawana busara mbona wao walishawahi kuvunja sheria kibao na hao TFF wakanyamazaNeno busara mnataka litumike hata pasipo stahili, wewe unayetaka busara itumike tuambie sababu hasa za game kusogezwa mbele ni nini?
Sasa hapa unaonyesha wazi tatizo ni TFF, kwanini sababu za kusogezwa mbele mechi haziwekwi hadharani?Acha kudonyoa donyoa kuna mtu nilikuwa namjibu na nimeanza nae mbali ukitaka kuelewa Rudi nyuma Yanga hawana kosa ila hawana busara mbona wao walishawahi kuvunja sheria kibao na hao TFF wakanyamaza
Umesema Yanga haijawahi kubebwa na TFF nimekupa mfano unaruka hoja mm sijasema TFF haina kosa narudia tena YANGA haina kosa wapo kwenye haki kabisa ila viongozi wake hawana busara maana nilikutolea ule mfano Mrisho ngasa kuwa Yanga walifanya makosa lakin TFF wakatumia busara hawakuwafungia hoja yako ipiSasa hapa unaonyesha wazi tatizo ni TFF, kwanini sababu za kusogezwa mbele mechi haziwekwi hadharani?
Walaumiwe mikia na mwanachama wa Wallace Karia[emoji724]Mods msiunge uzi🛇
Kama tunavyojua ni muda wa wiki kadhaa sasa kumekuwa na vuguvugu la pambano la mpira wa miguu kati ya watani wa jadi Simba na Yanga almaarufu kama Kariakoo Derby.
Pambano hili lililosubiriwa kwa hamu kubwa hatimae lilikuwa lifanyike leo tarehe 8 Mei saa 11:00 jioni. Lakini katika hali isiyokuwa ya kawaida muda wa mchana wa leo ikaenea taarifa kutoka TFF kuwa muda wa kuanza pambano umesogezwa mbele mpaka 1:00 usiku na kuwa hiyo imetokana na maagizo ya wizara.
Chakusikitisha zaidi barua hiyo kwa umma wa wadau wa michezo (vilabu, media, mashabiki) haikuianisha sababu za kusogezwa mbele kwa pambano hilo. Zaidi ya kusema tu ni maagizo ya wizara.
Sasa napenda kwanza kuwauliza TFF (Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania) na TPLB (bodi ya ligi) je walipopokea agizo hilo walizingatia sheria inayohusiana na jambo hilo. Je kama walizingatia waliwaeleza waliowapa agizo hilo kuhusu sheria hiyo? Je kama waliwaeleza ni majibu gani walipewa mpaka kuamua kuvunja sheria hiyo?
Tunatambua kuwa muda wa kuahirisha au kusogeza mbele muda wa pambano inaweza kufanyia chini ya masaa 24 (nikimaanisha kama ilivyofanywa leo) lakini kwa sababu maaalum. Cha ajabu ni kuwa mpaka sasa sio TFF wala Bodi ya Ligi waliotoa sababu hiyo/hizo maalumu za kusogeza mbele muda wa kuanza kwa mechi hiyo zaidi ya kusema kuwa ni agizo la wizara.
Je viongozi waliopewa dhamana ya kuongoza vyombo vyetu vihi hawana weledi juu ya sheria zinazosimamia soka letu?
Je gharama zilizotumiwa na vilabu katika kujiandaa na pambano hili zitafidiwa? Je gharama zilizotumiwa na mashabiki kusafiri kutoka mikoani au hata tarafa mbali mbali za jiji la Dar es Salaam zitafiwa na nani?
Je utaratibu utakuwa vipi kwa wale waliokuwa wamenunua tiketi kwaajili ya kutizama pambano hilo mubashara?
Je vombo vya habari vilivyotumia budget kuandaa vyombo vyao na watu wao kwaajili ya kurusha matangazo live katika channel za redio na runinga zitafidiwa na nani?
Je ni lini TFF na TPLB wataueleza umma wa Watanzania sababu za msingi za kusogezwa mbele kwa muda wa kuanza pambalo nilo na je watakapoeleza watawezaje ku justify kitendo hicho cha kutoa sababu baada ya usumbufu wote huu na sio kabla?
Haya ni maswali ambayo viongozi husika inabidi kuyajibu. Pia viongozi na mamlaka husika inabidi kuwajibika au ikibidi kuwajibishwa ili kuwa funzo siku nyingine.
Hakuna mambo ya busara kanuni zifatwe, yanga wamewakumbusha tff kufuata kanuni, busara mpelekee aliyetaka kuvunja kanuniUmesema Yanga haijawahi kubebwa na TFF nimekupa mfano unaruka hoja mm sijasema TFF haina kosa narudia tena YANGA haina kosa wapo kwenye haki kabisa ila viongozi wake hawana busara maana nilikutolea ule mfano Mrisho ngasa kuwa Yanga walifanya makosa lakin TFF wakatumia busara hawakuwafungia hoja yako ipi
Mikia ni nini?Walaumiwe mikia na mwanachama wa Wallace Karia
Asante kiongozi,Hiyo ni pesa ya mbumbu wa bara, hana uchungu nayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 1778737