Hao naweza kuwatetea Nairobi kupata ardhi tupu inaweza kuwa changamoto ila sio Dodoma, jengo zuri nafasi finyu, location pia sio sahihiTembea ujionee. Ukifika Nairobi ukaonyeshwa sehemu ya mabunge Yao (National Assembly & Senate, Upper house) ilipo unaweza Julia. Infact hiyo senate walikua wanafanya ukumbi wa kukodi, KCC.
Ushafika na kuona Westminster wewe. Ushaona downing street number 10 weweee?Tembea ujionee. Ukifika Nairobi ukaonyeshwa sehemu ya mabunge Yao (National Assembly & Senate, Upper house) ilipo unaweza Julia. Infact hiyo senate walikua wanafanyia ukumbi wa kukodi, KCC. Jengo lilipo si hoja. Cheki Ofisi ya CHADEMA ilipo unaweza kuzimia. Angalia ofisi ya Mullah ZZQ full uswazi. CUF ya prof je?
"Uswahilini ni huko uswekeni" in Lemutuz's voiceKwanza naomba uanze na maana ya neno uswahilini. Je jengo la bunge kweli liko Uswahilini?
Mkuu magari ya wabunge kuwa nje ya jengo sio kwamba parking haitoshi bali bunge lina wabunge wengi bila sababu, futa viti maalum wote, Zanzibar itoe wabunge nane na bara itoe wabunge 70 tuKila nikipita mbele ya ofisi za bunge Dodoma najiuliza nani alimuru lile jengo kujengwa pale
Hakuna parking ya kutosha,magari ya wabunge mengi huishia nje ya uzio
Ni uswahilini hakuna utulivu huku wahuni wa makole huku wanafunzi wa cbe na vurugu zao
Mapori yote ya dodoma mkakosa kukamata hata ekari kumi sehemu tulivu
Kongole JK kupeleka UDOM sehemu sahihi
Uswahilini ndipo kwenye Watanzania halisi. Wa kipato cha chini. Wabongo haswa.Kila nikipita mbele ya ofisi za bunge Dodoma najiuliza nani alimuru lile jengo kujengwa pale
Hakuna parking ya kutosha,magari ya wabunge mengi huishia nje ya uzio
Ni uswahilini hakuna utulivu huku wahuni wa makole huku wanafunzi wa cbe na vurugu zao
Mapori yote ya dodoma mkakosa kukamata hata ekari kumi sehemu tulivu
Kongole JK kupeleka UDOM sehemu sahihi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bunge ni mali ya wananchi (people's house). Hakuna ubaya likiwa karibu na waswahili.