Wote majiniaz ila sijawahi kujua nani zaidi. Japo ukiwajaji based on album zao za kwanza aisee 'Ulimwengu ndio mama' ya JayMo iliizidi mbali 'Mwanafalsafani' ya MwanaFA. Sema nachoona baada ya JayMo kutisha sana na album yake ya kwanza kama alirelax hivi akawa anatoa ngoma za kawaida, huku kwa upande wa FA aliendelea kutisha na hits kibao
Mkuu, nimekuelewa sana. Umenisanua kitu ambacho nilishindwa kukielewa kwa miaka 19, thanks!!Walitaka washirikiane kama.. ingekuwa vipi ..mwishowe jay mo akamuweka Solo ..jamaa akaona verse zisipotee kizembee akageuka upande mwengine akashusha ngoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanafatuma tena😀😀 , mwite "Binamu" basi
"Mimi nataka demu,yeye na mabinti damu damu
Kitumbua changu alionaa kiingiliwe na sumu" Jay moe mawazo.
Dah huyu mshkaji anajua sema kama alivyosema jamaa hapo juu ni snitch kinoma. Kumbuka ile ishu yake na Lady Jaydee hadi akaitwa MwanafatumaMwanafatuma tena[emoji3][emoji3] , mwite "Binamu" basi
Ooh, ok sikuiskia hiyo ishu yao na jide, itabidi nifatilie hadi aliitwa Mwanafatu.. noma sana😀Dah huyu mshkaji anajua sema kama alivyosema jamaa hapo juu ni snitch kinoma. Kumbuka ile ishu yake na Lady Jaydee hadi akaitwa Mwanafatuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Lady JayDee ambatiza jina jipya MwanaFA - JamiiForumsOoh, ok sikuiskia hiyo ishu yao na jide, itabidi nifatilie hadi aliitwa Mwanafatu.. noma sana[emoji3]
Thank you ngoja nijipatie historia ya Mwanafatuma😀
Ingekuwa vipi ni ngoma ya Nani? Jaymoe au fa
kusema
kweli mwanafa ni snitch just like you...mara nyingi huwa unashobo za kidada sana...mixer huwa natamani nikuite ascrepashacious....
[emoji15][emoji15]wapi nimekushobokea? Ndio kwanza naiona hii IDkusema
kweli mwanafa ni snitch just like you...mara nyingi huwa unashobo za kidada sana...mixer huwa natamani nikuite ascrepashacious....