getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,822
- Thread starter
- #21
Umeeelezea upande hasi (-) je unaweza kuwa na uwezo wa kuona upande wa mafanikio.chanya (+) ya huo mwenge hata kidogo?Hii nchi imejengwa kwa misingi ya uchawi, ushirikana, wanga na nguvu za Giza. Kitu kama Mwenge kililetwa na Forojo Ganze a.k.a Master bingwa wa uchawi ili watz wawe mapoyoyo na manyumbu watawalike kirahisi.
Sitaona ajabu kuwa Kuna kigagula mmoja ndiye aliyependekeza jina la Taifa Stars.
Miongoni mwa matokeo ya Mwenge ni kulala kwa huzuni ndio maana miradi mingi na vitu vingi chini ya chama cha Mwenge na serikali havina matokeo chanya
Mfano namnukuu mwanzilishi wa wazo la Mwenge Mwalimu Julius K
Nyerere alisema " sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya kilele cha mlima kilimanjaro ili ulete tumaini."...
Je katika wazo / maneno hayo kuna uchawi au ugagula.huo uusemao..? Je unafahamu umuhimu wa bendera zaidi ya kuona kuwa ni kitambaa tu, ? Unajua sabbu ya rangi zinazowekwa katika bendera..?
Turudi katika hoja yangu ya jina la timu yetu ya Taifa ni vizuri tukawa na Jina linaloelezea jambo fulani ama tukio fulani linaloleta maana katika Nchi.
Mathalani walio tangulia wameeleza vema katika hilo.