Nani aliipa jina la 'Taifa Stars' timu yetu? Linabeba ama kutangaza kitu gani kwa Nchi yetu?

Nani aliipa jina la 'Taifa Stars' timu yetu? Linabeba ama kutangaza kitu gani kwa Nchi yetu?

Hii nchi imejengwa kwa misingi ya uchawi, ushirikana, wanga na nguvu za Giza. Kitu kama Mwenge kililetwa na Forojo Ganze a.k.a Master bingwa wa uchawi ili watz wawe mapoyoyo na manyumbu watawalike kirahisi.
Sitaona ajabu kuwa Kuna kigagula mmoja ndiye aliyependekeza jina la Taifa Stars.
Miongoni mwa matokeo ya Mwenge ni kulala kwa huzuni ndio maana miradi mingi na vitu vingi chini ya chama cha Mwenge na serikali havina matokeo chanya
Umeeelezea upande hasi (-) je unaweza kuwa na uwezo wa kuona upande wa mafanikio.chanya (+) ya huo mwenge hata kidogo?

Mfano namnukuu mwanzilishi wa wazo la Mwenge Mwalimu Julius K
Nyerere alisema " sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya kilele cha mlima kilimanjaro ili ulete tumaini."...

Je katika wazo / maneno hayo kuna uchawi au ugagula.huo uusemao..? Je unafahamu umuhimu wa bendera zaidi ya kuona kuwa ni kitambaa tu, ? Unajua sabbu ya rangi zinazowekwa katika bendera..?

Turudi katika hoja yangu ya jina la timu yetu ya Taifa ni vizuri tukawa na Jina linaloelezea jambo fulani ama tukio fulani linaloleta maana katika Nchi.

Mathalani walio tangulia wameeleza vema katika hilo.
 
Umaanisha ndio maana hata soka letu kama Taifa halisogei mbele!
Sio soka tu, uwanja wetu ni mpya na wa kisasa lakini tayari umeshachakaa na hauna hadhi tena, vyoo vibovu, viti vimetolewa, ni aibu kuu.
Mwendo kasi umetushinda
Mfumo wetu wa elimu ni mfu
Mpango wa awamu ya viwanda umeshafeli ndio maana sasa tunasema Kila mwenye kinu na mchi ana kiwanda cha kutengeneza kisamvu.
Angalia ubora wa Barbara zetu ni kichekesho
Ubora wa majengo ya serikali ni duni mno
Tumeshindwa kuendeleza bandari na kunufaika NATO
Madini hayatusaidiii
Tunapiga maktaimu kwenye miradi ya nishati, tulikuwa kwenye hydroelectric power, tukaenda kwenye gas, tumerudi tena kwenye hydroelectric power. Akija mtawala mwingine atasema twende kwenye solar na atakuja mwingine atakayesema twende kwenye upepo.
Katiba imekula mabilioni na hatujaipata.
Yaani Kila sekta ni majanga tu
 
England - The Three Lion

Brazil - Selecao

Hao wengine pia wana majina yao japo sijayakariri

Wote hao wana majina yanayobeba tukio/maliasili/jambo linalotambulisha nchi husika

Spain - La Roja
 
Umeeelezea upande hasi (-) je unaweza kuwa na uwezo wa kuona upande wa mafanikio.chanya (+) ya huo mwenge hata kidogo?

Mfano namnukuu mwanzilishi wa wazo la Mwenge Mwalimu Julius K
Nyerere alisema " sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya kilele cha mlima kilimanjaro ili ulete tumaini."...

Je katika wazo / maneno hayo kuna uchawi au ugagula.huo uusemao..? Je unafahamu umuhimu wa bendera zaidi ya kuona kuwa ni kitambaa tu, ? Unajua sabbu ya rangi zinazowekwa katika bendera..?

Turudi katika hoja yangu ya jina la timu yetu ya Taifa ni vizuri tukawa na Jina linaloelezea jambo fulani ama tukio fulani linaloleta maana katika Nchi.

Mathalani walio tangulia wameeleza vema katika hilo.
Mwenge unaletaje TUMAINI? Jiulize kama kweli una akili timamu.
Je kweli mabilioni yanayotumika kwenye mbio za Mwenge kwanini yaende bure?
Hiyo miradi si ingezinduliwa tu bila ya huo Mwenge?
Je Nyerere alijuaje kuwa tumekosa TUMAINI?
Je ni TUMAINI gani tunalolitaka kama taifa?
Rasilimali tunazo lakini hatuzitumii tunataka TUMAINI kutoka kwenye Mwenge. Hamna nchi imeendelea duniani kwa kuwa na TUMAINI, nchi zote zimeendelea kutokana na matumizi mazuri ya rasilimali zake ikiwamo rasimali muda.
Jiulize tunapoteza Massa mangapi kwa shughuli za Mwenge ambayo yangetumika kuzalisha mali?
Mwenge hauna faida yoyote zaidi ya uchawi.
Isaya 50:11 Kuna laana tunayoipata kama taifa kwa kukimbiza Mwenge.
Tunalala kwa huzuni, hatufanikiwi
 
Mi napendekeza iitwe the Hyena,yaani fisi,itatufaa sana,yaani sisi huwa tunaqualify kwa ubest luza tu,hakuna siku tunaongoza group yaani ni kama fisi kula mizoga tu na ni muoga vby,juzi tulikua cape verde watu wamejipigia 3:0
[emoji2] [emoji2]
 
Wakuu hiki jina Taifa stars nani aliipa timu yetu yaTaifa? Linabeba ama kutangaza kitu gani kwa Nchi yetu?
Ninadhani kunapokuwa na mafanikio kwa timu ya Taifa ni fursa pia ya kutangaza alama maalumu ya Taifa ambayo bila shaka inaweza chochea pia utambulisho wetu na utalii wetu.

Mfano Uganda wanajiita the crane.
Bila shaka wakimaanisha ndege adimu wanaopatikana kwa wingi Uganda.

Wengine wanajiita "mamba weusi"
Wengine "Tai wa Jangwani"
Wengine "simba wa theranga"
Hapo jirani nadhani kwa sabbu ya machimbo ya shaba wanajiita "risasi za moto" chipolopolo.
Ama kule kusini wanajiita "Bafana bafana"

Je kwanini timu yetu ya Taifa isiwe na utambulisho maalumu wenye kuleta maana?

Mfano tukaiita timu yetu "the giraffe"..
"Tukiamini kuwa twiga ni mnyama anayekula majani ya juu ya miti."

Na anaeona Mbali zaidi adui yake kabla hajamkaribia. Pia Twiga ni kimbilio kwa wanyama wengi wasio weza kumuona adui yao kwa mbali..

Napendekeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa Miguu iitwa "THE GIRAFFE "!
Sawa ni pendekezo zuri lau ungechelewa kidogo tu mimi nilifikilia nipendekeze timu yetu tuiite jina la Rais wetu kama zawadi ya kazi zake zikizotukuka
 
Hivi kuna uwezekano wa kuongea masuala mengine yasiyo ya kisiasa bila kuweka siasa?
Huu ni utaahira.
Siasa ni mfumo wa maisha hata soka ni siasa.
Halafu utaahira ni nini? Fafanua na uuchambue kwa kina, ukishindwa basi wewe utakuwa ni MFYAKUZI MWENYE UNYAFUZI WA AKILI.
Kwa msaada zaidi mcheki Chief Apostle Dionis Mtalemwa akusaidie
 
Sio soka tu, uwanja wetu ni mpya na wa kisasa lakini tayari umeshachakaa na hauna hadhi tena, vyoo vibovu, viti vimetolewa, ni aibu kuu.
Mwendo kasi umetushinda
Mfumo wetu wa elimu ni mfu
Mpango wa awamu ya viwanda umeshafeli ndio maana sasa tunasema Kila mwenye kinu na mchi ana kiwanda cha kutengeneza kisamvu.
Angalia ubora wa Barbara zetu ni kichekesho
Ubora wa majengo ya serikali ni duni mno
Tumeshindwa kuendeleza bandari na kunufaika NATO
Madini hayatusaidiii
Tunapiga maktaimu kwenye miradi ya nishati, tulikuwa kwenye hydroelectric power, tukaenda kwenye gas, tumerudi tena kwenye hydroelectric power. Akija mtawala mwingine atasema twende kwenye solar na atakuja mwingine atakayesema twende kwenye upepo.
Katiba imekula mabilioni na hatujaipata.
Yaani Kila sekta ni majanga tu
Unapokuwa unaona mwanga kwenye giza basi jua kuna tumaini. Hiyo ndiyo iliyokuwa filosofia ya Mwenge.!
Unapolalama kwenye uozo uliofanywa na serikali, wakati huo huo wanapochukuliwa hatua wale waliosababisha uozo huo mnalalamika kuwa kuwa anayewashughulikia ni dikteta nao ni "wenda wazimu"!
Anayeongoza Nchi hii kwa sasa JPM alishasema Nchi hii ilikuwa imeoza kila unapogusa ni "uozo mtupu"!
Tuna anza kwa kubadiri Jina la Timu yetu ya Taifa wale walio zoea kutuona vile kesho hawatatuona kama jana na juzi.!

Mabadiriko huanza na wewe hapo ulipo ukiona kuna makosa rekebisha kisha mwenzio atafuatia mstari wako sahihi.

Mkuu leta jina unalo dhani ni stahiki kwa timu yetu ya Taifa kisha tulitweet kwenda Tanfootball.
Tutakuwa tumejivunia kwa hilo..
 
Hapa duniani kuna roho mbili zinazoongoza nafsi roho mbaya. Na roho nzuri. Sabbu wewe umeamua kuitwa FISI ni vema wewe na ukoo wako mkaitwa hivyo lakini sisi wengine tunatazama kwa mtazamo ulio chanya zaidi.
Ndio maana tunahitaji mabadiriko ya jina ambalo litabeba maana kwa Taifa letu.
"TANZANIA."
Mbona kwenye scoreboard huwa wanaandika Tanzania vs.... Au huwa sioni vema?
 
Wakuu hiki jina Taifa stars nani aliipa timu yetu yaTaifa? Linabeba ama kutangaza kitu gani kwa Nchi yetu?
Ninadhani kunapokuwa na mafanikio kwa timu ya Taifa ni fursa pia ya kutangaza alama maalumu ya Taifa ambayo bila shaka inaweza chochea pia utambulisho wetu na utalii wetu.

Mfano Uganda wanajiita the crane.
Bila shaka wakimaanisha ndege adimu wanaopatikana kwa wingi Uganda.

Wengine wanajiita "mamba weusi"
Wengine "Tai wa Jangwani"
Wengine "simba wa theranga"
Hapo jirani nadhani kwa sabbu ya machimbo ya shaba wanajiita "risasi za moto" chipolopolo.
Ama kule kusini wanajiita "Bafana bafana"

Je kwanini timu yetu ya Taifa isiwe na utambulisho maalumu wenye kuleta maana?

Mfano tukaiita timu yetu "the giraffe"..
"Tukiamini kuwa twiga ni mnyama anayekula majani ya juu ya miti."

Na anaeona Mbali zaidi adui yake kabla hajamkaribia. Pia Twiga ni kimbilio kwa wanyama wengi wasio weza kumuona adui yao kwa mbali..

Napendekeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa Miguu iitwa "THE GIRAFFE "!
Mbona Tunayo Twiga stars, serengeti boys..au lazima mifano itoke nje ya nchi
 
Mbona kwenye scoreboard huwa wanaandika Tanzania vs.... Au huwa sioni vema?
"Nickname" jina la hamasa kwa wachezaji ama wenye timu linaloinua morali ya kupambana kwa wafanyalo.
Mfano unaweza kuwa na binti yako nyumbani ukamwita kwa jina lake lakini ukimwita kwa sifa fulani njema atapata nguvu au morali ya kuwa bora zaidi.
Na hata wenzake watamtambua hivyo.!

Jina hujenga" tumaini, ujasiri, nguvu. Na nk.
Lakini pia jina hupeleka ujumbe wa hofu ama tumaini kwa wasikiao jina hilo
Kwa wale waumini wa dini ya kikristo wanafahamu kuwa Mungu alitambulika kwa Majina tofauti tofauti kwa wakati wake ili ama kuleta tumaini au hofu kwa adui wa wana wa Israeli

Mfano, Elohim, Elshadai, Jehova yire. Na nk.
 
Mbona Tunayo Twiga stars, serengeti boys..au lazima mifano itoke nje ya nchi
Mkuu neno "stars" labda ndipo hoja yangu ilipojificha kwanini waitwe "stars" ? Stars linabeba nini au linawakilisha nini katika Nchi yetu ambalo twaweza chochea ama utalii au hamasa?
Ashakum si matusi au huenda wanaotoa hayo majina hawaijui vema lugha ya kiingereza kama tunavyochekwa tunapokuwa Nje ya Nchi. Sabbu ya kutokujua kwao maana ya hilo neno "stars"
Wanaamua tu kulipachika.
Hivi kwanini basi timu yetu ya wanawake wasiitwe tu "Twiga" ikiwa na maana the Giraffe bila neno stars ? Au wale wengine wakaitwa "Taifa" ikiwa na maana ya Nation bila neno stars mbele?
 
Tuitwe The Tanzanites
Ahsante mkuu twaweza kubadirisha historia ya Taifa letu tukiamua.. tweet hilo jina na hoja kwenye account ya Tanfootbal. Na hoja yetu mpaka waelewe.
 
Tuitwe The Tanzanites
Ahsante mkuu twaweza kubadirisha historia ya Taifa letu tukiamua.. tweet hilo jina na hoja kwenye account ya Tanfootbal. Na hoja yetu mpaka waelewe.
 
Mkuu Mkiki. Una historia yoyote ya utoaji wa hilo jina "Taifa stars" ututupie hapa? Lakini pia kama walikuwa wazee wa kiswahili nadhani neno "stars" linatengeneza ukakasi kwenye kiswahili.
Mkuu getrusa

Maana ya neno "Taifa" kani mimbaria ya Michezo na mtazamo wetu kama Watanzania linawakilisha "Umoja/wamoja"...kwamba ni mkusanyiko wa watu ambao tunaunganishwa na mambo flani ya msingi ukiachilia tofauti tulizonazo za kuabila wetu, utamaduni wetu, na mahali (mikoa) yetu tunapotoka!

So mjumuisho wa mchanganyiko huu wa tofauti zetu unapoungwanishwa na udugu wetu kama wamoja kwa kuzika au kufubaza tofauti zetu hizo ndipo tunapolizaa neno Taifa....sasa na kuwa "Nyota wa Taifa" a.k.a Taifa Stars!

Ukitaka kujua uhalisia wa nisemacho jaribu kutembelea nchi jirani zinazotuzunguka kama Malawi, Zambia Kenya na Uganda.

Wao hasa jirani zetu wa kusini Mtanzania wanamuita "Mtaifa"....ukifika kwa mfano katika vitongoji ya Blantaya na Lilongwe hahakuiti Mtanzania bali Mtaifa!

Hii inaconnotate kwamba wenzetu hawa hutuona sisi kama "wamoja na wakitaifa" zaidi kuliko kama watanzania!
 
Back
Top Bottom