Nani aliipa jina la 'Taifa Stars' timu yetu? Linabeba ama kutangaza kitu gani kwa Nchi yetu?

Miaka ya hivi karibuni hii ID imekuwa inaongea mashudu sana!

Miaka ile ya mwanzo haikuwa na uandishi wa namna hii. Sijui ni nini kimekupata.
 
Jina la TAIFA STARS lilipendekezwa mmoja wa Mwalimu/Kocha wa Timu yetu ya Taifa wakati huo. Ikiwa na maana ya nyota wa Taifa.

Sina uhakika hasa ni yupi,kati ya hawa wawili;
1.MAREHEMU Paul West Gwivaha
2. MAREHEMU Joel Bendera.
 
JAPO NAKILI SIJUI nickname ZAO ILA wenzetu wanatimu zao zinaitwa
ENGLAND
SPAIN
BELGIUM
BRAZIL
CROATIA
KWANINI TUSIJIITE TU TANZANIA? KAMA LINAUKAKASI KULINGANA NA MUUNDO WA MUUNGANO WETU BASI WATAFUTE JINA JINGINE NA SIO MAMBO YA WANYAMA.
Unamaanisha hufahamu kama timu yetu ya Taifa inatumia jina la Tanzania ?
 
Jina la Taifa stars tu ndugu zangu wasukuma na wamakonde hawawezi kulitamka vizuri je tukiongeza likawa giraffe si ndio ajari za kujing'ata ulimi zitazidi usukumani..

Kama vipo waitwe "FARU JOHN"
 
JAPO NAKILI SIJUI nickname ZAO ILA wenzetu wanatimu zao zinaitwa
ENGLAND
SPAIN
BELGIUM
BRAZIL
CROATIA
KWANINI TUSIJIITE TU TANZANIA? KAMA LINAUKAKASI KULINGANA NA MUUNDO WA MUUNGANO WETU BASI WATAFUTE JINA JINGINE NA SIO MAMBO YA WANYAMA.
Belgium-red devils
 
Mimi ninge pendekeza timu iitwe "Dreamliner" au "Bombardier"
 
Tuitwe The Tanzanites
Ahsante mkuu twaweza kubadirisha historia ya Taifa letu tukiamua.. tweet hilo jina na hoja kwenye account ya Tanfootbal. Na hoja yetu mpaka waelewe.
 
Samahani kwa kunakili habari yote. Mimi sijui na naomba unifahamishe stars maana yake nini?
 
Mkuu kwa sasa Nipo Malawi nipo katika Mji wa Mzuzu nikiendelea na safari yangu ng'ambo ya eneo nilipo kuna soko dogo linaitwa "Mataifa" wafanyabiashara wengi hapa ni Watanzania ama wanaoleta bidhaa zao kutoka "Tanzania" nimeiona pia Nchi nyingine nilizobahatika kutembelea.
Kilichoninyima raha ni neno "stars" ambapo labda walio asisi hilo jina wangeita " Nyota wa Taifa " lingeleta raha zaidi kwa kiswahili chetu..
 
Twiga Stars, tatizo nyota.
Nyota inayoongelewa ile ya Taifa na ya Twiga ni spiritual stars.
Zodiacal stars signs, sio zile nyota za angani.
 
Hiyo ni nickname wakuu " inapokuwa kwenye mechi za kimataifa .. huwaga inaitwa TANZANIA.. by the way ushauri wako pia sio mbaya .. tunaweza tafuta nickname nyingine mpya ambayo ina akisi kile ambacho kipo nchini kwetu ".. haswa katika sekta ya utalii na mali asili ili tuweze kuitangaza nchi kimataifa kwa wepesi zaidi
 
Hiyo ni nickname wakuu " inapokuwa kwenye mechi za kimataifa .. huwaga inaitwa TANZANIA.. by the way ushauri wako pia sio mbaya .. tunaweza tafuta nickname nyingine mpya ambayo ina akisi kile ambacho kipo nchini kwetu ".. haswa katika sekta ya utalii na mali asili ili tuweze kuitangaza nchi kimataifa kwa wepesi zaidi
 
JAPO NAKILI SIJUI nickname ZAO ILA wenzetu wanatimu zao zinaitwa
ENGLAND
SPAIN
BELGIUM
BRAZIL
CROATIA
KWANINI TUSIJIITE TU TANZANIA? KAMA LINAUKAKASI KULINGANA NA MUUNDO WA MUUNGANO WETU BASI WATAFUTE JINA JINGINE NA SIO MAMBO YA WANYAMA.
ENGLAND-Three lions
BRAZIL-seleçao
 
kwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…