Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,236
- 4,746
Miaka ya hivi karibuni hii ID imekuwa inaongea mashudu sana!Hii nchi imejengwa kwa misingi ya uchawi, ushirikana, wanga na nguvu za Giza. Kitu kama Mwenge kililetwa na Forojo Ganze a.k.a Master bingwa wa uchawi ili watz wawe mapoyoyo na manyumbu watawalike kirahisi.
Sitaona ajabu kuwa Kuna kigagula mmoja ndiye aliyependekeza jina la Taifa Stars.
Miongoni mwa matokeo ya Mwenge ni kulala kwa huzuni ndio maana miradi mingi na vitu vingi chini ya chama cha Mwenge na serikali havina matokeo chanya
Miaka ile ya mwanzo haikuwa na uandishi wa namna hii. Sijui ni nini kimekupata.