Nani aliipa jina la 'Taifa Stars' timu yetu? Linabeba ama kutangaza kitu gani kwa Nchi yetu?

...lakin hayo majina mliyoyapendekeza mbona tayari yanatimu na yanatumiwa?
Twiga/Giraffes=Hili jina linatumiwa na timu ya Taifa ya Wanawake..so haliwezi tena kutumiwa na Wanaume..
TANZINITES=Hili jina pia linatumiwa na Timu ya Taifa ya Wanawake tofauti Hili linatumiwa Timu inapowakilisha Taifa (Tanzania Bara)ktk michuano ya CECAFA/...
Timu yetu inaitwa "Taifa Stars" kwasababu ni mjumuiko wa wachezaji kutoka Bara na Visiwani lakin ktk mshindano mfano CECAFA ambapo nchi zote mbili(Tz Bara na Znz)zina wakilishwa na Timu zao hili jina hubadilika na kuitwa NGORONGORO HEREOS!..ikimaanisha Timu ya Taifa ya Tz Bara
 
Jina lilitolewa na
kocha Paul West Gwivaha baada ya kuulizwa na waandishi "what's the name of the team which these star's called " then answered the Taifa stars
 
JAPO NAKILI SIJUI nickname ZAO ILA wenzetu wanatimu zao zinaitwa
ENGLAND
SPAIN
BELGIUM
BRAZIL
CROATIA
KWANINI TUSIJIITE TU TANZANIA? KAMA LINAUKAKASI KULINGANA NA MUUNDO WA MUUNGANO WETU BASI WATAFUTE JINA JINGINE NA SIO MAMBO YA WANYAMA.
Spain ..... La Furia Roja.
England. ... Three Lions
Croatia. ..... Vatreni
Belgium. ....... The Red Devils
 
England - The Three Lion

Brazil - Selecao

Hao wengine pia wana majina yao japo sijayakariri

Wote hao wana majina yanayobeba tukio/maliasili/jambo linalotambulisha nchi husika
Belgium= Red devils
 
Mi napendekeza hii timu iitwe Chenga Mbili Kiatu.
 
Taifa stars "the chamilion" ukitaka ujue maana ya jina hilo waulize cap Verde kilichowapata pale Tanzania National Stadium
 
Ebana nimekubali mkuu
 
Au Moran's of the KILIMANJARO
 
JAPO NAKILI SIJUI nickname ZAO ILA wenzetu wanatimu zao zinaitwa
ENGLAND
SPAIN
BELGIUM
BRAZIL
CROATIA
KWANINI TUSIJIITE TU TANZANIA? KAMA LINAUKAKASI KULINGANA NA MUUNDO WA MUUNGANO WETU BASI WATAFUTE JINA JINGINE NA SIO MAMBO YA WANYAMA.
England inaitwa the three Lions
 
Alias ya timu yetu ya taifa ingekuwa "We Don't Give A Fu-ck Boys" ingependeza sana..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…