getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,822
- Thread starter
- #61
Unadhani lipi laweza kuwa jina linalobeba hamasa kwa timu yetu ya Taifa? Likia akisi baraka na utajiri Mungu alio tukirimia kama Taifa..?Hiyo ni nickname wakuu " inapokuwa kwenye mechi za kimataifa .. huwaga inaitwa TANZANIA.. by the way ushauri wako pia sio mbaya .. tunaweza tafuta nickname nyingine mpya ambayo ina akisi kile ambacho kipo nchini kwetu ".. haswa katika sekta ya utalii na mali asili ili tuweze kuitangaza nchi kimataifa kwa wepesi zaidi