Nani aliipata kazi BARRICK GROUP

Lameckjr

Senior Member
Joined
Sep 26, 2020
Posts
133
Reaction score
247
Habari wakulungwa
Leo katika pitapita zangu kwenye email zangu nikakutana na email 📧 niliambiwagwa nijiandae kwa virtual interview, lakini mpaka Leo Mwezi wa Tano

Lakini nakumbuka hilo Tangazo lilikuwa linahitaji watu kibao wa logistics, marketing na sales nk

Nimeona niulize vipi kuna mtu alitoboaga
Kumbe sio Barrick wa mgodini!!

 
Andika upya ulichokiandika hapo juu mkuu..this time andika taratibu tupate kukuelewa na kuchangia mada hii kwa ufasaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…