Napitia comments kama zitakuwepo
Mie sijawahi kunywa pombe hadi sasa
HayaTafuta siku nikunyweshe
Nilifundishwa na mother, Γ©nzi hizo miaka ya 2000s kila akitoka kazini lazma aboost kichwa whisky hapo ndo tuaanza kuonjeshwa tuna miksiwa na maji kidogo et tusilewe.Mi nilijifunza nikiwa kwa Sherehe
Napitia comments kama zitakuwepo. Mie sijawahi kunywa pombe hadi sasa
Kuna msemo usemao kuwa hakuna mtu aliyezaliwa akiwa anajua mambo yote, maana yake ni kwamba kila kitu tunajifunza kutoka kwa watu wanaotuzunguka.
Kuna watu wamefundishwa kunywa pombe na Marafiki, wazazi, wapenzi wao, na hata wenyewe. Sasa leo twambie wewe ulifundishwa na nani?
kabila languKuna msemo usemao kuwa hakuna mtu aliyezaliwa akiwa anajua mambo yote, maana yake ni kwamba kila kitu tunajifunza kutoka kwa watu wanaotuzunguka.
Kuna watu wamefundishwa kunywa pombe na Marafiki, wazazi, wapenzi wao, na hata wenyewe. Sasa leo twambie wewe ulifundishwa na nani?
Kwan pombe zote zinatoka viwandani?Sinywi kinywaji chochote cha kiwandani,