Nani alikufundisha kunywa pombe

Nani alikufundisha kunywa pombe

Nasoma majibu ya wanywa pombe
 
Kuna msemo usemao kuwa hakuna mtu aliyezaliwa akiwa anajua mambo yote, maana yake ni kwamba kila kitu tunajifunza kutoka kwa watu wanaotuzunguka.

Kuna watu wamefundishwa kunywa pombe na Marafiki, wazazi, wapenzi wao, na hata wenyewe. Sasa leo twambie wewe ulifundishwa na nani?
Mwalimu wangu mr Bulyota wa secondary somo la chemistry alifukuzwa Russia Moscow university kwa kugegeda mke wa Lecturer
 
Back
Top Bottom