cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Namaanisha vinywaji vyote vya viwandani sinywi, sasa hiyo pombe ya asili naanzaje kwani?Kwan pombe zote zinatoka viwandani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namaanisha vinywaji vyote vya viwandani sinywi, sasa hiyo pombe ya asili naanzaje kwani?Kwan pombe zote zinatoka viwandani?
Mwalimu wangu mr Bulyota wa secondary somo la chemistry alifukuzwa Russia Moscow university kwa kugegeda mke wa LecturerKuna msemo usemao kuwa hakuna mtu aliyezaliwa akiwa anajua mambo yote, maana yake ni kwamba kila kitu tunajifunza kutoka kwa watu wanaotuzunguka.
Kuna watu wamefundishwa kunywa pombe na Marafiki, wazazi, wapenzi wao, na hata wenyewe. Sasa leo twambie wewe ulifundishwa na nani?