Kuna msemo usemao kuwa hakuna mtu aliyezaliwa akiwa anajua mambo yote, maana yake ni kwamba kila kitu tunajifunza kutoka kwa watu wanaotuzunguka.
Kuna watu wamefundishwa kunywa pombe na Marafiki, wazazi, wapenzi wao, na hata wenyewe. Sasa leo twambie wewe ulifundishwa na nani?