Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Acha kumlinganisha Ustazi wangu "Zizzo" na vitu vya kipumbavu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu hebu tumalize huu ubishi wa muda mrefu kwa kupiga kura nani alikuwa mkali uwanjani katika suala zima la ufundi ndani ya uwanja na kuisaidia timu yake kati ya Zinedine Zidane na Ronaldinho Gaucho.
CC: CossovoMan Belo Erythrocyte Amavubi herrera
Huyu ni nabii wa mwisho wa sokaSikuwahi kuupenda mpira na wala sikujua mpira ni Nini na wala sikutaka kuufuatilia mpira sikuona furaha au faida ya mpira lakini baada ya kubahatisha kuchungulia dirisha la jirani yetu mnamo 2002 na kutazama kombe la dunia kipindi cha Fainali hapo ndipo nilitaka kujua zaidi kuhusu mpira hasa hasa kuucheza I was inspired in one day by one person and all at once I become a fan RONALDINHO GAUCHO ni hatari zaidi mjumlishe zidane,ronaldo(wa sasa),movic,neymar,messi wajumlishe wote hawa utapata robo ya RONALDINHO.
NIMESHAIFUNGA HII IISHIE HAPAHAPA
Acha kumlinganisha Ustazi wangu "Zizzo" na vitu vya kipumbavu.
Wakuu hebu tumalize huu ubishi wa muda mrefu kwa kupiga kura nani alikuwa mkali uwanjani katika suala zima la ufundi ndani ya uwanja na kuisaidia timu yake kati ya Zinedine Zidane na Ronaldinho Gaucho.
CC: CossovoMan Belo Erythrocyte Amavubi herrera
OHOO....USHAHARIBU UZI...Km nimpira wa kufraisha ni sahihi Gaucho is the best ever & second one is Okocha.
Shabiki yeyote wa gaucho huwa hana hoja za kujitetea...mara nyingi huwa nawauliza maswali wanakimbia...
Wachezaji wangu wa muda wote[emoji116]
Messi
Maradona
[emoji115]Hawa ni level ya kipekee, since dunia iumbwe hapakutokea na hawatatokea viumbe wanaojituma, kuuchezea na kuutendea haki mpira like Messi and Diego(Golden boy)
Level ya Gaucho[emoji116]
Ronaldo
Zidane
Lewandowski
Sadio
Salah
Hazard
De lima
Iniesta
Xavi
Okocha
Requelme
Henry
Suarez
Aguero
Bagio
Pamoja na kuwa at same level but Cr7, Iniesta, Xavi na Suarez wana mafanikio kuzidi hao wote + Gaucho wenu...
Messi na Maradona weka mbali na watoto, tena msiwalinganishe na hao watoto...
Gaucho alileta ile maana halisi ya burudani kwenye mpira, yaani chochote alichotaka kukifanya kiwe kigumu au chepesi kiliwezekana. Pia aliweza kumfurahisha shabiki + kuibeba timu yake hapohapo. Haya Sema kwa nini umemuweka Gaucho ktk level za hao watu hapo?Shabiki yeyote wa gaucho huwa hana hoja za kujitetea...mara nyingi huwa nawauliza maswali wanakimbia...
Wachezaji wangu wa muda wote[emoji116]
Messi
Maradona
[emoji115]Hawa ni level ya kipekee, since dunia iumbwe hapakutokea na hawatatokea viumbe wanaojituma, kuuchezea na kuutendea haki mpira like Messi and Diego(Golden boy)
Level ya Gaucho[emoji116]
Ronaldo
Zidane
Lewandowski
Sadio
Salah
Hazard
De lima
Iniesta
Xavi
Okocha
Requelme
Henry
Suarez
Aguero
Bagio
Pamoja na kuwa at same level but Cr7, Iniesta, Xavi na Suarez wana mafanikio kuzidi hao wote + Gaucho wenu...
Messi na Maradona weka mbali na watoto, tena msiwalinganishe na hao watoto...
Zizou muacheni tu, huyo mechi kubwa alikuwa anajua kuamua matokeo, Ronaldinho ni mchezaji aliyekuwa anazungungukwa na wanaojua ingawa na yeye anajua, angali mechi ngapi ngumu ambazo dinho na Zizour wamezisaidia timu zao kushindaWakuu hebu tumalize huu ubishi wa muda mrefu kwa kupiga kura nani alikuwa mkali uwanjani katika suala zima la ufundi ndani ya uwanja na kuisaidia timu yake kati ya Zinedine Zidane na Ronaldinho Gaucho.
CC: CossovoMan Belo Erythrocyte Amavubi herrera
Gaucho alileta ile maana halisi ya burudani kwenye mpira, yaani chochote alichotaka kukifanya kiwe kigumu au chepesi kiliwezekana. Pia aliweza kumfurahisha shabiki + kuibeba timu yake hapohapo. Haya Sema kwa nini umemuweka Gaucho ktk level za hao watu hapo?
Unafanya mchezo wewe kufanyiwa standing ovation Santiago Bernabeu kutoka kwa mashabiki wajeuri na wajivuni Wa R. Madrid kwa adui yao!?
Sent using Jamii Forums mobile app