Nani Alikuwa Bora kati ya Zidane na Ronaldinho?

Nani Alikuwa Bora Kati ya Zidane na Ronaldinho?


  • Total voters
    27
  • Poll closed .
Huyu ni nabii wa mwisho wa soka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shabiki yeyote wa gaucho huwa hana hoja za kujitetea...mara nyingi huwa nawauliza maswali wanakimbia...


Wachezaji wangu wa muda wote👇

Messi
Maradona
👆Hawa ni level ya kipekee, since dunia iumbwe hapakutokea na hawatatokea viumbe wanaojituma, kuuchezea na kuutendea haki mpira like Messi and Diego(Golden boy)

Level ya Gaucho👇

Lewandowski
Sadio
Salah
Hazard
De lima
Iniesta
Xavi
Okocha
Requelme
Henry
Suarez
Aguero
Bagio



Messi na Maradona weka mbali na watoto, tena msirudie kuwalinganisha na watoto...
 
Unataka hoja zipi kithibitisha ubora wa Gaucho zaidi ya kubeba WC, UCL, ballo'n dor 2_times, LA Liga, tuzo binafsi kibao, uwanjani burudani hakuwa na mpinzani ama nn cha ziada...

Mara 2 pale Santiago Bernabeu mashabiki wa Madrid walisimama kumpigia makofi uwanja mzima baada ya kuonyesha kandanda LA kiwango kisicho cha kawaida.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwai kusikia kwamba, Ronaldinho kipindi yupo Barca aliwai kuwatenda yasiyo mema Real Madrid mpaka Mashabiki wake wakashindwa kuvumilia; wakampigia makofi...
Kipindi hicho Zizou alikua wapi?
 
Wewe nae unayumba
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gaucho alileta ile maana halisi ya burudani kwenye mpira, yaani chochote alichotaka kukifanya kiwe kigumu au chepesi kiliwezekana. Pia aliweza kumfurahisha shabiki + kuibeba timu yake hapohapo. Haya Sema kwa nini umemuweka Gaucho ktk level za hao watu hapo?

Unafanya mchezo wewe kufanyiwa standing ovation Santiago Bernabeu kutoka kwa mashabiki wajeuri na wajivuni Wa R. Madrid kwa adui yao!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu hebu tumalize huu ubishi wa muda mrefu kwa kupiga kura nani alikuwa mkali uwanjani katika suala zima la ufundi ndani ya uwanja na kuisaidia timu yake kati ya Zinedine Zidane na Ronaldinho Gaucho.

CC: CossovoMan Belo Erythrocyte Amavubi herrera
Zizou muacheni tu, huyo mechi kubwa alikuwa anajua kuamua matokeo, Ronaldinho ni mchezaji aliyekuwa anazungungukwa na wanaojua ingawa na yeye anajua, angali mechi ngapi ngumu ambazo dinho na Zizour wamezisaidia timu zao kushinda
 


Bado hujathibitisha ubora wake..hayo yote uloyasema Zidane kishayafanya na sio hayo tu, pia kasaidia timu zake tofauti na gaucho....tambua pia hapa tunazungumzia individual capabilities za mchezaji...ebu mwaga achievements zake hapa kama wewe ni kidume kweli!


Messi na Maradona ndio wamenifanya niupende mchezo wa soka, they have every reason to be praised in football....so usiwalinganishe na yeyote katika soka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…