Nani alikuwa mkali wa gita kati ya hawa?

Kichuchunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
384
Reaction score
970
Eti nani alikuwa mpiga gitaa bora zaidi kati ya hawa watatu

1. Lokasa ya mbongo
2. Dally Kimoko
3. Diblo Dibala
Japo kuna watu kama Nene Tchakou
 
Eti nani alikuwa mpiga gitaa bora zaidi kati ya hawa watatu
1. Lokasa ya mbongo
2. Dally Kimoko
3. Diblo Dibala
Japo kuna watu kama Nene Tchakou
Walikua wanapiga magitaa tofauti
1.Lokasa ya Mbongo-gitaa la rhythm
2.Dally Kimoko-gitaa la solo japo pia alikua na uwezo wa kupiga rhythm
3.Diblo Dibala-gitaa la solo
4.Nene Tchakou-gitaa la solo japo pia alikua na uwezo wa kupiga rhytm na base guitar
 
Hapo unashindwa hata umchague nani
1 Diblo dibala extra ball kwenye ule wimbo alilitendea haki gitaa
2.Nene Tchakou Eveline ya mtu mzima Aurlus mabele
3.Lokassa ya mbongo Mariejose ya mwaka 1987 dah acha tu
4.dally kimoko akiwa na lokassa na kundi zima la soukous star Kin night
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…