Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saleh Jabir ni msanii wa kwanza kurekodi album ya rap kwa kiswahili hapa Tanzania ... Ila kujua msanii wa kwanza ni ngumu maana harakati zilianza kitambo mitaani kabla ya kuanza utaratibu wa matamasha kwenye mashule na baadae mashindano ya rap ....Harakati zilikuwepo hasa Dar, Morogoro, Mbeya, Tunduma na Arusha .....muziki huo kuitwa Bongo fleva ni baadae sana na neno lenyewe Bongo fleva lilianzishwa na producer Nguli P Funk Majani wa Bongo Record ....
hahahahah tunduma lilikuwa pori mkuu
Mkuu hivi huyo unaemwongelea hapa Jabir saleh ni huyu mtangazaji wa Times Fm?
James Dandu alishuka TZ kutoka Sweden wakati Bongo Flavor imeshashika chat na watu wameshaachana na Umarekani!!
Uko sawa Mkuu,Nakumbuka Mr 2 ananyimbo yake Inaitwa Bongo flv, nakumbuka baadh ya maneno ktk ile nyimbo anasema...Albam ya kwanza nilipata laki mbili...albamu ya pili nilipata milioni mbili...ya tatu na ya nne tia akilili
MC shika Mic mkononi
watu nyoosha mikono hewani...
bongo fleva...bongo flevaaa..
ilikuwa kwenye album ya ITIKADI hii!!
Na ndy msani wa kwanza kununua gari pia! Nakumbuka ilikuwa model ya HondaUko sawa Mkuu,Nakumbuka Mr 2 ananyimbo yake Inaitwa Bongo flv, nakumbuka baadh ya maneno ktk ile nyimbo anasema...Albam ya kwanza nilipata laki mbili...albamu ya pili nilipata milioni mbili...ya tatu na ya nne tia akilili
Saleh jabr Ice ce babyvp kuhusu cool james mtoto wa dandu..??