Mkuu ongea kama mfuatiliaji wa mpira,mchango wa Samata team ya Taifa ni mdogo mno almost haupo,utalinganisha fighting spirit ya Samata na Msuvu kwenye national team?.fanya comparison utapata jibu.Kuhusu kwenda Afcon ilikuwa lazima twende tu kwa namna yoyote,maana Waganda tayari walishafuzu,hata ningecheza mimi na wewe siku hiyo,goli kipa akawa Santino bila hofu yoyote tungeshinda.Kwan hukusikia team ya Uganda ikituhumiwa na CAF na chama chake cha soka kuwa matokeo yalikuwa planned?.
OK nimekuelewa nishapata hesabu kamili jamaa hawakujumlisha na goli za playoffs thus way ikaja hiyo data hapo its seems hiyo data iliochapishwa haikuonganishwa na goli za playoffs fresh nimekupata 👊 hommie.Mkuu lengo langu sio kubishana ni kueleweshana,narudia SAMATA HAJAWAHI KUWA TOP SCORER JUPITER,hizo data ulizotoa ni kabla ya league kwisha,top scorer alikuwa huyu jamaaa.View attachment 1274188
Mkuu lengo langu sio kubishana ni kueleweshana,narudia SAMATA HAJAWAHI KUWA TOP SCORER JUPITER,hizo data ulizotoa ni kabla ya league kwisha,top scorer alikuwa huyu jamaaa.View attachment 1274188
Jamaa ni senior player ndio maana media haziwezi kuacha kumzungumzia nani atazungumziwa kuzidi yy sasa?Samatta uwezo mdogo media zilizojaza watangazaji wajinga ndio zinampa kichwa
Kila mahali pana changamoto zake ww unazani jamaa atafeli EPL sasa mm nakuambia jamaa ndio ataiva atakuwa mkali zaidi Kwasababu mazingira ndio yatamfanya awempambanaji zaidi yahapa halipo naatapata more experiences trust me.
Unachokisema ww nisawa na kumzungumzia MESSI na Argentina ndio hii hali iliyopo na kwa SAMATTA pia.Mkuu ongea kama mfuatiliaji wa mpira,mchango wa Samata team ya Taifa ni mdogo mno almost haupo,utalinganisha fighting spirit ya Samata na Msuva kwenye national team?.fanya comparison utapata jibu.Kuhusu kwenda Afcon ilikuwa lazima twende tu kwa namna yoyote,maana Waganda tayari walishafuzu,hata ningecheza mimi na wewe siku hiyo,goli kipa akawa Santino bila hofu yoyote tungeshinda.Kwan hukusikia team ya Uganda ikituhumiwa na CAF na chama chake cha soka kuwa matokeo yalikuwa planned?.
😂 Kadabra,AubameyangAtaivaje wakati umri umemtupa mkono? Nitajie mshambuliaji aliyeenda EPL akiwa na zaidi ya miaka 28+ akatamba EPL!
Yule abaki ubeligiji kwenye ligi ya mbuzi
u
Unachokisema ww nisawa na kumzungumzia MESSI na Argentina ndio hii hali iliyopo na kwa SAMATTA pia.
aisee...Ubeligiji ni ligi mbovu kuliko zote ulaya, hata medie kagere au makambo au bocco wangecheza kule wangechukua ufungaji bora
Siku hizi kwenda ulaya kucheza ni michongo wala sio kipaji
Wana undugu mbona alisemaLabda ni mtoto wa Bibi Cheka.
Goigoi kulinganisha na wewe ama una mimba maana tabia ya kumchukia mtu pasipo sababu ya msingi hua inahusishwa na kuwa na mimba changaSina uzandiki samatta ni goigoi tu watu wasio jua mpira. Ndio wanamlisha matango