yitzhak
JF-Expert Member
- Jul 3, 2019
- 616
- 853
- Thread starter
- #41
Samatta uwezo mdogo media zilizojaza watangazaji wajinga ndio zinampa kichwa
Mkuu ongea kama mfuatiliaji wa mpira,mchango wa Samata team ya Taifa ni mdogo mno almost haupo,utalinganisha fighting spirit ya Samata na Msuvu kwenye national team?.fanya comparison utapata jibu.Kuhusu kwenda Afcon ilikuwa lazima twende tu kwa namna yoyote,maana Waganda tayari walishafuzu,hata ningecheza mimi na wewe siku hiyo,goli kipa akawa Santino bila hofu yoyote tungeshinda.Kwan hukusikia team ya Uganda ikituhumiwa na CAF na chama chake cha soka kuwa matokeo yalikuwa planned?.