Nani alimdanganya Samatta akicheka cheka hovyo uwanjani ndio anapendeza

Nani alimdanganya Samatta akicheka cheka hovyo uwanjani ndio anapendeza

Samatta uwezo mdogo media zilizojaza watangazaji wajinga ndio zinampa kichwa

Mkuu ongea kama mfuatiliaji wa mpira,mchango wa Samata team ya Taifa ni mdogo mno almost haupo,utalinganisha fighting spirit ya Samata na Msuvu kwenye national team?.fanya comparison utapata jibu.Kuhusu kwenda Afcon ilikuwa lazima twende tu kwa namna yoyote,maana Waganda tayari walishafuzu,hata ningecheza mimi na wewe siku hiyo,goli kipa akawa Santino bila hofu yoyote tungeshinda.Kwan hukusikia team ya Uganda ikituhumiwa na CAF na chama chake cha soka kuwa matokeo yalikuwa planned?.
 
Mkuu lengo langu sio kubishana ni kueleweshana,narudia SAMATA HAJAWAHI KUWA TOP SCORER JUPITER,hizo data ulizotoa ni kabla ya league kwisha,top scorer alikuwa huyu jamaaa.View attachment 1274188
OK nimekuelewa nishapata hesabu kamili jamaa hawakujumlisha na goli za playoffs thus way ikaja hiyo data hapo its seems hiyo data iliochapishwa haikuonganishwa na goli za playoffs fresh nimekupata 👊 hommie.
 
Utakuta huyu anayekubishia ni mtangazaji wa kipindi cha michezo!

Hawa ndii wanatangaza uwongo kuwaaminisha watanzania wasio jua mpira waamini samatta anauwezo kumbe goigoi tu
Mkuu lengo langu sio kubishana ni kueleweshana,narudia SAMATA HAJAWAHI KUWA TOP SCORER JUPITER,hizo data ulizotoa ni kabla ya league kwisha,top scorer alikuwa huyu jamaaa.View attachment 1274188
 
Ataivaje wakati umri umemtupa mkono? Nitajie mshambuliaji aliyeenda EPL akiwa na zaidi ya miaka 28+ akatamba EPL!


Yule abaki ubeligiji kwenye ligi ya mbuzi
Kila mahali pana changamoto zake ww unazani jamaa atafeli EPL sasa mm nakuambia jamaa ndio ataiva atakuwa mkali zaidi Kwasababu mazingira ndio yatamfanya awempambanaji zaidi yahapa halipo naatapata more experiences trust me.
 
u
Mkuu ongea kama mfuatiliaji wa mpira,mchango wa Samata team ya Taifa ni mdogo mno almost haupo,utalinganisha fighting spirit ya Samata na Msuva kwenye national team?.fanya comparison utapata jibu.Kuhusu kwenda Afcon ilikuwa lazima twende tu kwa namna yoyote,maana Waganda tayari walishafuzu,hata ningecheza mimi na wewe siku hiyo,goli kipa akawa Santino bila hofu yoyote tungeshinda.Kwan hukusikia team ya Uganda ikituhumiwa na CAF na chama chake cha soka kuwa matokeo yalikuwa planned?.
Unachokisema ww nisawa na kumzungumzia MESSI na Argentina ndio hii hali iliyopo na kwa SAMATTA pia.
 
Acha kumfananisha messi na hiki kiazi samatta

Messi timu ya Taifa hata timu isipipata matokeo chanya lazima mchango wake hywa unaonekana

Au nyie ndio mnasikiliza na kusoma media za Tanzania kuwa messi hana mchango timu ya Taifa huku hamuangalii hata mechi?

Messi katika mechi asilimia 95 alizicheza timu ya Taifa anainyesha uwezo mkubwa
u

Unachokisema ww nisawa na kumzungumzia MESSI na Argentina ndio hii hali iliyopo na kwa SAMATTA pia.
 
Hao wametoka miongoni mwa ligi tano bora duniani usifananishe na ligi ya mbuzi ubeligiji

Muulize ahmed musa mwenye uwezo mkubwa alivyochemsha Leicester city

[emoji23] Kadabra,Aubameyang
 
Ubeligiji ni ligi mbovu kuliko zote ulaya, hata medie kagere au makambo au bocco wangecheza kule wangechukua ufungaji bora

Siku hizi kwenda ulaya kucheza ni michongo wala sio kipaji
aisee...
 
Mkuu huo usiriazi unaotaka Samata aoneshe ungeulekeza kwenye biashara zako leo hii si ungekuwa level moja na kina Mo Dewji?!
 
Sina uzandiki samatta ni goigoi tu watu wasio jua mpira. Ndio wanamlisha matango
Goigoi kulinganisha na wewe ama una mimba maana tabia ya kumchukia mtu pasipo sababu ya msingi hua inahusishwa na kuwa na mimba changa
 
Nimchukie kwa lipi huyo hajui mpira pamoja na kucheza ligi mbovu
Goigoi kulinganisha na wewe ama una mimba maana tabia ya kumchukia mtu pasipo sababu ya msingi hua inahusishwa na kuwa na mimba changa
 
Back
Top Bottom