Nani alimdanganya Samatta akicheka cheka hovyo uwanjani ndio anapendeza

Nimekwambia nataka kuwa tajiri

Hapa tunazungumzia mchezaji mbovu samata anayecheza kwenye ligi mbovu huku anavimbishwa kichwa na media uchwara za Tanzania
Mkuu huo usiriazi unaotaka Samata aoneshe ungeulekeza kwenye biashara zako leo hii si ungekuwa level moja na kina Mo Dewji?!
 
something fiiiiisshhyyyy
 
una lako jambo mkuu sio bure
 
Kufungwa ni moja ya matokeo.
 
Kati ya wachezaji 30 bora Africa yeye ni mmoja wao.
 
Unawezankuta hata chandimu hukucheza leo ushakuwa kocha. Kama Smatta anachekacheka Ronaldinho alikuwa anafanyaje?
 
Bila Shaka mkeo alikwambia kuwa anampendaga sammata, Sasa wewe kwaakili zake fupi umeenda mbali zaidi kwakujua kuwa anampendaga kimapenz kumbe yeye alimaanisha anampenda kwasababu yausakataji wake kabumbu uwanjani
 
Chuki na roho mbaya vitakuua! Umekwa km mwanamke mjamzito!
 
Hasira z maisha yako usihamishie kwa wenzio embu pambana na maisha yako achana na kijana wa watu, nyie ndio mnaowangaga kwenye mageto ya watu
 
 
Watanzania wengi ni wanafiki. Hamtaki kusikia ukweli
Ila wewe utakuwa mchokozi tu maana kama wewe ungekuwa bora zaidi ya Samata umesajiliwa timu gani Ulaya? Acha unafiki kaka .
 
Tafuta hela wewe stress za maisha zitakuuwa muda si mrefu .
 
Walimwengu bwana! mtoa mada hili nalo linakunyima usingizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…