Nani alimdanganya Samatta akicheka cheka hovyo uwanjani ndio anapendeza

Bila picha akiwa anacheka ni uzushi tu
 
Ubeligiji ni ligi mbovu kuliko zote ulaya, hata medie kagere au makambo au bocco wangecheza kule wangechukua ufungaji bora

Siku hizi kwenda ulaya kucheza ni michongo wala sio kipaji
Mahaba niue..hao wote uliowataja hawawezi kuwika Jupiler pro league...Hata timu kubwa za SA hawawezi
 
Ninafamu mpira nimecheza toka nipo mtoto hadi nilipoamua kupumzika

Mpira kwangu ni zaidi ya burudani

Ila samata uwezo hana ni wale wachezaji wanaoushi kwa bahati uwanjani
Itakuwa mke wake
 
Mkuu vipi jamaa amekuibia mke au, manake siyo kwa povu hili. BTW fanya yako boss upate walau pesa ya kula mwenzio kashatusua maisha, kumfatilia ni kupoteza mda.
huyo ni mchezaji wa zamani au wa leo anaye muonea gere huwezi kumumaulia mtu hadi hisia zake hiyo ni beyond ushabiki hii ni husuda michezo ni furaha
 
Na leo katupia goal kwa sulsburg. Mi maoni yangu samata ni mchezaji mkali sana tena mfano wa kuigwa. Kama haumkubali na ni maoni yako pia, siwezi kusema ni wivu.
 
Kama mpila hajui alifikaje MAZEMBE kisha akaenda KRC GENK? kawezaje kuwa Top Score Last Season hiyo Jupiter League at same time European league alifikisha goli 8 loh hizi nichuki binafsi tu.
Mpila tena
 
Niliwahi kumsikia mzee samatta akihojiwa alisema alimfundisha mwanae kutabasamu akifanyiwa faulo na sio kukasirika.
 
Ubeligiji ni ligi mbovu kuliko zote ulaya, hata medie kagere au makambo au bocco wangecheza kule wangechukua ufungaji bora

Siku hizi kwenda ulaya kucheza ni michongo wala sio kipaji
Acha unafiki boss kwa nini hao wakina book mpaka sasa hawajaenda halafu book si alifanyaga majaribio klabu ya tel Aviv apole ilikuwaje?je huko Israel alikoenda boko na kufeli na ubeligji wapi ligi mbovu
 
Mahaba niue..hao wote uliowataja hawawezi kuwika Jupiler pro league...Hata timu kubwa za SA hawawezi
Umeona eeh eti bocco na kagere walifanya nini mwana Jana caf mechi za ugenini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…