Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahaba niue..hao wote uliowataja hawawezi kuwika Jupiler pro league...Hata timu kubwa za SA hawaweziUbeligiji ni ligi mbovu kuliko zote ulaya, hata medie kagere au makambo au bocco wangecheza kule wangechukua ufungaji bora
Siku hizi kwenda ulaya kucheza ni michongo wala sio kipaji
Itakuwa mke wakeNinafamu mpira nimecheza toka nipo mtoto hadi nilipoamua kupumzika
Mpira kwangu ni zaidi ya burudani
Ila samata uwezo hana ni wale wachezaji wanaoushi kwa bahati uwanjani
huyo ni mchezaji wa zamani au wa leo anaye muonea gere huwezi kumumaulia mtu hadi hisia zake hiyo ni beyond ushabiki hii ni husuda michezo ni furahaMkuu vipi jamaa amekuibia mke au, manake siyo kwa povu hili. BTW fanya yako boss upate walau pesa ya kula mwenzio kashatusua maisha, kumfatilia ni kupoteza mda.
Mpila tenaKama mpila hajui alifikaje MAZEMBE kisha akaenda KRC GENK? kawezaje kuwa Top Score Last Season hiyo Jupiter League at same time European league alifikisha goli 8 loh hizi nichuki binafsi tu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wewe usiyechekacheka unacheza ligi gani Mkuu!?
Tuanzie hapo kwanza!
Acha unafiki boss kwa nini hao wakina book mpaka sasa hawajaenda halafu book si alifanyaga majaribio klabu ya tel Aviv apole ilikuwaje?je huko Israel alikoenda boko na kufeli na ubeligji wapi ligi mbovuUbeligiji ni ligi mbovu kuliko zote ulaya, hata medie kagere au makambo au bocco wangecheza kule wangechukua ufungaji bora
Siku hizi kwenda ulaya kucheza ni michongo wala sio kipaji
Umeona eeh eti bocco na kagere walifanya nini mwana Jana caf mechi za ugeniniMahaba niue..hao wote uliowataja hawawezi kuwika Jupiler pro league...Hata timu kubwa za SA hawawezi
Waswahili tuna shida sana [emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
RiPLabda ni mtoto wa Bibi Cheka.