Nani alimdanganya Samatta akicheka cheka hovyo uwanjani ndio anapendeza

Nani alimdanganya Samatta akicheka cheka hovyo uwanjani ndio anapendeza

Ubeligiji ni ligi mbovu kuliko zote ulaya, hata medie kagere au makambo au bocco wangecheza kule wangechukua ufungaji bora

Siku hizi kwenda ulaya kucheza ni michongo wala sio kipaji
Mahaba niue..hao wote uliowataja hawawezi kuwika Jupiler pro league...Hata timu kubwa za SA hawawezi
 
Mkuu vipi jamaa amekuibia mke au, manake siyo kwa povu hili. BTW fanya yako boss upate walau pesa ya kula mwenzio kashatusua maisha, kumfatilia ni kupoteza mda.
huyo ni mchezaji wa zamani au wa leo anaye muonea gere huwezi kumumaulia mtu hadi hisia zake hiyo ni beyond ushabiki hii ni husuda michezo ni furaha
 
Na leo katupia goal kwa sulsburg. Mi maoni yangu samata ni mchezaji mkali sana tena mfano wa kuigwa. Kama haumkubali na ni maoni yako pia, siwezi kusema ni wivu.
 
Niliwahi kumsikia mzee samatta akihojiwa alisema alimfundisha mwanae kutabasamu akifanyiwa faulo na sio kukasirika.
 
Ubeligiji ni ligi mbovu kuliko zote ulaya, hata medie kagere au makambo au bocco wangecheza kule wangechukua ufungaji bora

Siku hizi kwenda ulaya kucheza ni michongo wala sio kipaji
Acha unafiki boss kwa nini hao wakina book mpaka sasa hawajaenda halafu book si alifanyaga majaribio klabu ya tel Aviv apole ilikuwaje?je huko Israel alikoenda boko na kufeli na ubeligji wapi ligi mbovu
 
Back
Top Bottom