Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hili tatizo hata mkuu wa nchi analo.
swissme
Kwa humu JF ni mpaka uwe mpigwa ban wa kufa mtu na wa mara kwa mara kama member mwenzetu GENTAMYCINE ndipo unaweza kuitwa " Sir ". Sijui huko kwingineko.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sir Juma Nature
Kwahiyo wapo wawili na Sir Kahama, na waalimu wote wa English maana tulikuwa tunawasalimia Good morning SirSir Juma Nature
Watatu tu hapa Bongo,rakingKwahiyo wapo wawili na Sir Kahama, na waalimu wote wa English maana tulikuwa tunawasalimia Good morning Sir
ayaa ! chande kweli ila huyu waljpeana usir . kwa ushupavu wa freemason nadhanisir jk chande , mkuu wa freemason Tanzania , nimepiga book shule yake Shaaban Robert sec school
Labda alipewa na malkia wa siafuMimi nilikuwa najiuliza hivi huu 'Usir' huyu kahama aliupateje wajameni?
Mwengine mtanzania mwenye initial ya Sir ni Juma Nature au Kibra teh teh teh
4, Sir BashiteWatatu tu hapa Bongo,raking
1.Sir Kahama
2.Sir Chande
3.Sir Nature
bila shaka amewaacha wanae na wajukuu sehemu nzuri ya kula vya babu mpaka watakapochoka. Sisi ngoja tukomae tuzichange wenyewe.Nikiambiwa nimzungumzie Sir George kwa neno moja, nitasema "fisadi"