Nani alimtoa bikra mke wako?

Mhh mtoto wa darasa la saba mazee?
 
Kwanza namshukuru kwa kunisaidia kuondoa "kadhia" ya kusumbuana, nilipoanza niliteleza tu, nateleza hadi leo bila shida thanx to the dude!!

Japo wanasema eti kwa vile mimi sio wa kwanza then nipo na mke wa mtu...
 
Kwanza namshukuru kwa kunisaidia kuondoa "kadhia" ya kusumbuana, nilipoanza niliteleza tu, nateleza hadi leo bila shida thanx to the dude!!

Japo wanasema eti kwa vile mimi sio wa kwanza then nipo na mke wa mtu...
Hao ni wenye kuamini imani zao mkuu, we serererka tuu..
bikra kitu gani, na sio guarantee..
 
Mimi nilibahatika kabisa yaani nikamtoa mwenyewe na sasa na nikamuoa tunaishi make na mume ni kweli magumu yanatukuta ila jikikumbuka mm ndio niliyemtoavyaani nashikwa na huruma na kumsamehe hats kama akinikosea sana.
 
Akili za kupewa ongezea Na zako, shauri yako.
Nimeongeza akili zangu na nikapata jibu kuwa Ustaarabu ni muhimu kwa binaadamu, na mtu anapokosea haimaanishi kuwa hawezi kubadilika. Na vile vile huenda masuala ya nyuma unapomuuliza ni sawa na kumtonesha kidonda.

Sasa wewe fikiria, umeenda kuposa, mtu anakuuliza kuwa ushawahi kugegedana na mwanamke ukajibu ndio, unakataliwa kupewa mke, au mchumba anakukataa kisa uliwahi kutoka na mwanamke mwengine unajisikiaje?

Bujibuji amesema juu kuwa haulizi sahani katumia nani, ukimuekea msosi anakula tu.
 
hahaha watu wamepanic. ngoja nipite kimya kimya maana huyu wangu mmh labda bikra ya tigo.
 
Sio kweli Mimi nilimtoa mwanamke bikira na tukashindwana mapenzi hayako hivyo bado unamawazo ya kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…