Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
ndio tena akiwa na miaka 21Duu!! We wa kwako ulimkuta nayo???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio tena akiwa na miaka 21Duu!! We wa kwako ulimkuta nayo???
Hilo janga la Dunia chiefHabari zenu;
Kama hujawahi juiliza basi jiulize Je nani alimtoa mke wako bikra?Kama ni wewe je umegundua tofauti gani katika nyumba yako?na kama sio wewe je umeona tofauti gani?
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa wale ambao wake zao walitolewa bikra na wanaume wengine mahusiano yao ni tofauti sana wale ambao walitoa bikra za wake zao.Kwa nini?
Kwa kawaida mwanamke ukimpenda ukamtoa bikra na kumuoa basi kama mapenzi yenu yako katika msingi sahihi basi mtaishi maisha yenye furaha na amani sana na mtaweza pitia magumu mengi sana pamoja katika mapenzi yenu.
Kwa wanawake ambao unawao lakini sio wewe uliwatoa bikra ni muhimu ukafahamu kwa hakika namna ambavyo walipoteza usichana wako ili uelewa hasa maumivu waliyowahi kupitia.Kwa mara nyingi mwanamke hutolewa bikra ama na mtu ambaye anamuamini au kwa sababu ya kiherehere.
Kwa kawaida unapoamua kumfanya mwanamke kuwa wako wa maisha hilo ni jambo la muhimu kujua hasa iwapo mwanamke sio bikra,na ana umri mdogo na hana mtoto.Iwapo umri umeenda na ana mtoto walau mmoja sio lazima kujua.
Nasisitiza sana hasa kwa wale ambao mko mbioni kuoa iwapo mpenzi wako sio bikra ni muhimu ufahamu nani aliitoa na waliachanaje
Mjadala uko wazi.
[emoji23][emoji23][emoji23] amepiga kwenye mshono.Mleta uzi mchokozi kwel hili jiwe limewapata wengi sana ndo maana hoja zao zmejkita kwenye kupinga kwamba kumtoa bikra cyo kigezo cha kupendwa hahahahahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni mtazamo tu wakuu
Asee! Umesema ukweli kabisa. Lazima jamii ibadilike, ikiweka mkazo mwanamke kama hana bikra haolewi. Wangetulia kabisaaa!Endeleeni kujipa moyo.. Mwisho wa siku mnafanywa wajinga,,, kuoa MWANAUME asiye bikira ni sawa na KUISHI NA MPENZI WA MTU.... zamani Ilikuwa ni aibu UNAOLEWA kukutwa bila bikira,, na msichana ukimtoa bikira kuoa ni lazima,, lakini leo tunaona ni sawa kuoa mwanamke ambaye si bikira,,, na Ndy wasichana wanashindwa KUJUWA THAMANI YA BIKIRA,,, Kama ingekuwa ukimkuta msichana sio bikira unaweza kumhoji ilikuwaje? Si dhani Kama kungekuwa na utitiri wa BIKIRA LESS MITAANI..
Kwa hiyo alimpiga chin mazima? [emoji23][emoji23][emoji23]Hii kitu ishakua kama dhahabu kunamshaji wetu dem kamdanganya anayo hiyo kitu so kuitoa hadi ndoa jamaa kaoa siku ya honeymoon kesho yake tunapeleka nguo za kubadilisha tunamkuta nje mapema tu anakwambia kaogelea kwenye kilindi haswa kwa hilo hatomsamehe dem maana alitangazia watu hadi wakaa andaa mashuka meupe
Naked answerNikienda hotelini sina utamaduni wa kumuuliza meneja wa hotelini kuwa hii sahani ninayoitumia ni Nani aliyekuwa wa Kwanza kuitumia
Seriously! Dunia ipo kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda(fourth industrial revolution)kwa kutumia AI artificial intelligence,Internet of things IoT,wewe unawaza na kusumbuliwa na K ya mke wako,kutaka kujua pipe ya kwanza kuingia!! Kuna mambo ya msingi ya kuwaza,ili kujenga utajiri wa familia wewe unawaza K!?Habari zenu;
Kama hujawahi juiliza basi jiulize Je nani alimtoa mke wako bikra?Kama ni wewe je umegundua tofauti gani katika nyumba yako?na kama sio wewe je umeona tofauti gani?
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa wale ambao wake zao walitolewa bikra na wanaume wengine mahusiano yao ni tofauti sana wale ambao walitoa bikra za wake zao.Kwa nini?
Kwa kawaida mwanamke ukimpenda ukamtoa bikra na kumuoa basi kama mapenzi yenu yako katika msingi sahihi basi mtaishi maisha yenye furaha na amani sana na mtaweza pitia magumu mengi sana pamoja katika mapenzi yenu.
Kwa wanawake ambao unawao lakini sio wewe uliwatoa bikra ni muhimu ukafahamu kwa hakika namna ambavyo walipoteza usichana wako ili uelewa hasa maumivu waliyowahi kupitia.Kwa mara nyingi mwanamke hutolewa bikra ama na mtu ambaye anamuamini au kwa sababu ya kiherehere.
Kwa kawaida unapoamua kumfanya mwanamke kuwa wako wa maisha hilo ni jambo la muhimu kujua hasa iwapo mwanamke sio bikra,na ana umri mdogo na hana mtoto.Iwapo umri umeenda na ana mtoto walau mmoja sio lazima kujua.
Nasisitiza sana hasa kwa wale ambao mko mbioni kuoa iwapo mpenzi wako sio bikra ni muhimu ufahamu nani aliitoa na waliachanaje
Mjadala uko wazi.
Mlifunga ndoa na huyo mwanamke used?Dah! Me nilimtoa bikra dem wangu wa zamani alikuwa mlokole na alionyesha kunipenda lakini miezi kadhaa mbeli lilitokea jamaa moja lokole mwenzake likamchumbia na kumtolea mahari. Aisee nilipatwa na fever ya ghafla.
Ndo nikapata dem mmoja Tena alitemwa na mshikaji wake japo alinisumbua akijua na mm tamuumiza Ila nilimpenda aiseee yeye alinipenda zaidi na ni mwaka 3 niko nae maisha murwa kabisa na mahali nimemtolea na nipo kwenye process za ndoa.
Hapo ulipomalizia nakupinga mkuuMimi nadhani mambo ya kuuliza mwanamke wako alitoka na wanaume wangapi sijui nani kamtoa bikra ni utoto. Kwanza she will never tell you the exact number. Halafu hata kama akikwambia itakusaidia nini? Inabadilisha nini? Wewe piga tu mashine na furahia kuwa naye kwa kipindi utakachokua naye. Kama ni mkeo basi hakikisha unakuwa na misimamo yako maisha yanaendelea. I personally don't care hao waliopita. Mwanamke akiamua kusaliti haijalishi umemtoa bikra au la, ni hulka yake tu.
Bikra haitoki kwa chochote bali mtu tu hapo full stopNani kafufua huu uzi?Any way bado naamini kwamba ni muhimu ufahamu bikra ya mkeo ilitokaje.
Uliolewa hauna bikra...Maswali gani sasa
Hii kitu ishakua kama dhahabu kunamshaji wetu dem kamdanganya anayo hiyo kitu so kuitoa hadi ndoa jamaa kaoa siku ya honeymoon kesho yake tunapeleka nguo za kubadilisha tunamkuta nje mapema tu anakwambia kaogelea kwenye kilindi haswa kwa hilo hatomsamehe dem maana alitangazia watu hadi wakaa andaa mashuka meupe
Kweli mzeeKuna demu nilimtoa bikra akiwa katoka kumaliza darasa na saba kaanza form one napiga tu tena alinipenda sana kitendo cha kuingia form two kakutana na majanja yakaanza kupiga na mimba juu kuna muda kumtoa demu bikra sio kigezo cha kupendwa milele unaweza kuwa na demu kapigwa sana na akakupenda kumshinda aliemtoa bikra