Nani alipona tatizo la kuota unafanya mapenzi ndotoni?

Nani alipona tatizo la kuota unafanya mapenzi ndotoni?

Point of No Return 19

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2023
Posts
203
Reaction score
472
Hizi za Aina hii zinanitesa Sana Mimi?

Nifanye Nini ili ziweze kuniachia,

Mara kadhaa kwa miaka kadhaa Sasa nasumbuliwa na hizi ndoto za kufanya mapenzi usingizini

Mimi siangalii video za porn

Mimi siongelei Mambo ya ngono

Ila nashindwa kuelewa hii Hali naichukia Sana ,nifanye Nini jamani?
 
Umeoa? Kichupa kikijaa kitavuja tu hata km hujaminya chupa
 
Ila ndotoni ni patamu kuliko kwenye uhalisia...
 
Kwa mwanaume ndoto nyevu ni sehemu ya maisha hasa kwa mabachelor lazima kiwango fulani cha mbegu kipunguzwe ili kuweka mizani sawaa

Ila ndoto nyevu zikizidi hapo kuna shida mfano unapata ndoto nyevu siku tatu mfululizo...

Kama unadhani kuna ushirikina Jaribu kutumia chumvi ya mawe chukua kiasi kidogo weka chini ya mto...

Mshana Jr tunaomba uchangie hili
 
Tafuta mwanamke ulale nae hizo ni nyege zinakusumbua
 
Kwa nini mnazilalamikia ndoto nzuri kama hizo!! Tena yule mwingine alisema amekuwa akiota hizo ndoto na wanawake anao wafahamu! Raha iliyoje hii!!
 
Back
Top Bottom