Nani alisema ukuta wa mabanzi ni sawa na Ukuta wa Yeriko? Mechi 7 goli 7 kunyavu! Clean sheet inatafutwa kwa tochi!

Na yale magoli ya kupasiwa na wapinzani wenu nayo ni kujisifia!! Timu inachezesha wachezaji wazee tu mechi. Yaani wachezaji vijana karibia wote wanaozea benchi!! Kila mechi lazima iachie goli/magoli!!

Tarehe 5 Novemba siyo mbali.

AKILI ZA KITOTO NA KIPUMBAVU KABISA.

MTU MZIMA HOVYOOOOOOOO....
 
Na yale magoli ya kupasiwa na wapinzani wenu nayo ni kujisifia!! Timu inachezesha wachezaji wazee tu mechi. Yaani wachezaji vijana karibia wote wanaozea benchi!! Kila mechi lazima iachie goli/magoli!!

Tarehe 5 Novemba siyo mbali.
Yanga munamupenda muwe wenu aki. Si kwa kumtetea huku 😂😂😂
 
Simba haina kipa. Nafikiri yule namba 3 aaminiwe sasa, msimu uliopita alikuwa na saves nyingi tu
 
Picha tafadhali
 
Watu mnamlaumu kipa lakini lile shuti lilikiwa kali sana,halafu yule jamaa aliye press alikuwa free pekee yake,mbona hamjiulizi Zimbwe nae alikiwepo wapi.
 
Wewe unatafuta cleasheet wenzio wanatafuta point 3, eneweyi kupanga ni kuchagua!
 
Nadhani kwanza tungeelewa

JE uwezo wa magolikipa wa Simba unatosha kusimama langoni?????

Ukimtoa Aishi Manula tu

Hatuoni kuwa Simba ilifanya makosa kwenye usajili kuhangaika na makipa kisa 10%.

unamuacha Golikipa kama John Noble unaangaika na Akina.

1. Ally salum
2.Ayoub Lakred.
3. Luis Santos.
4.jeffason Luis.
5. Hussein Abel

Aibu ya uongozi wa Simba
 
Nenda kwenye page ya che Malone alafu ndio utapata jibu. Si unatak majibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…