Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Sawa mke wetu wa kudumu maana tumekuwa tukijichapia miaka yote ni zaidi ya mara 57
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mke wetu wa kudumu maana tumekuwa tukijichapia miaka yote ni zaidi ya mara 57
Walevi waliokusanyana wakacheza mpiraIle sio timu ni walevi tu..🤣
Na yale magoli ya kupasiwa na wapinzani wenu nayo ni kujisifia!! Timu inachezesha wachezaji wazee tu mechi. Yaani wachezaji vijana karibia wote wanaozea benchi!! Kila mechi lazima iachie goli/magoli!!
Tarehe 5 Novemba siyo mbali.
Walevi waliokusanyana wakacheza mpira
SIMBA WAKIKAA VIBAYA TAREHE5 WATAHADHIRISHWA MPIRA WA SASA HAUNA MAZOEA YANGU MACHO.
Yanga munamupenda muwe wenu aki. Si kwa kumtetea huku 😂😂😂Na yale magoli ya kupasiwa na wapinzani wenu nayo ni kujisifia!! Timu inachezesha wachezaji wazee tu mechi. Yaani wachezaji vijana karibia wote wanaozea benchi!! Kila mechi lazima iachie goli/magoli!!
Tarehe 5 Novemba siyo mbali.
Kitendo cha kuandika kwa herufi kubwa tuAKILI ZAKO NDOGO
Tuwaachie mywenu sio 😂😂😂Hatukuwatuma
Kitendo cha kuandika kwa herufi kubwa tu
Tayari Inaonesha dishi limeyumba
Mpaka mods huwaga wanakurekebisha
Picha tafadhaliNamtafuta aliyewapa jina la ukuta wa yeriko awa jamaa, inawezekana alikuwa amebugia k vant na ugoro akajitamkia tu!
Timu inayojiita imekamilika Kila idara inaruhusu mabao Kila mechi, aijalishi inakutana wapi na uwanja Gani, ikipelekewa moto tu kidogo inakuwa Kama Tenga la kuuzia nyanya matobo kibao!
Uwezi kubebwa ubingwa kwa kuwa na beki zinazoruhusu makosa Kila mechi ni ngumu sana!
Tukutane trh 5 majibu yatapatikana!
Wewe unatafuta cleasheet wenzio wanatafuta point 3, eneweyi kupanga ni kuchagua!Namtafuta aliyewapa jina la ukuta wa yeriko awa jamaa, inawezekana alikuwa amebugia k vant na ugoro akajitamkia tu!
Timu inayojiita imekamilika Kila idara inaruhusu mabao Kila mechi, aijalishi inakutana wapi na uwanja Gani, ikipelekewa moto tu kidogo inakuwa Kama Tenga la kuuzia nyanya matobo kibao!
Uwezi kubebwa ubingwa kwa kuwa na beki zinazoruhusu makosa Kila mechi ni ngumu sana!
Tukutane trh 5 majibu yatapatikana!
Pamoja sana ndugu mhasibu.Simba haina kipa. Nafikiri yule namba 3 aaminiwe sasa, msimu uliopita alikuwa na saves nyingi tu
Dogo jifunze kuchangia mada kwa staha. Kila siku ninakuambia, lakini husikii. Sijui una laana kutoka kwa wazazi wako!!!AKILI ZA KITOTO NA KIPUMBAVU KABISA.
MTU MZIMA HOVYOOOOOOOO....
Dogo jifunze kuchangia mada kwa staha. Kila siku ninakuambia, lakini husikii. Sijui una laana kutoka kwa wazazi wako!!!
Ukikua utaacha. Nimegundua ni utoto tu ndiyo unaokusumbua.AKILI ZA KITOTO NA KIPUMBAVU KABISA.
MTU MZIMA HOVYOOOOOOOO.